Dar es Salaam: It means....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar es Salaam: It means....?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Boss, Oct 13, 2009.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hivi kwa nini maana halisi ya jiji la daresalaam inapotoshwa?utasikia watu wengi wanasema maana ya jiji la daresalaam ni bandari salama....
  wakati maana halisi ya daresalaam ni PEPO YA AMANI....AU HEAVEN OF PEACE...

  KIARABU bandari ni bandar....ndo maanna mji mkuu wa brunei unitwa
  bandar salama,

  halafu hilo kosa ni kila siku...why???????
   
 2. B

  Bunsen Burner Member

  #2
  Oct 13, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Please don't as well misled people!! capital city of brunei is not bandar salaam!!! go back to ur std 4 geography!!! darusalaaam is the capital city!!!
   
 3. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Lol!! Mji mkuu wa Brunei ni Bandar Seri Begawan.
   
 4. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Maana ya Dar es Salaam ni House of Peace....(Arabic translation)
   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hakuna kitu kama "heaven of peace" mkuu labda kama ulimaanisha "haven of peace.
   
 6. Y

  YE JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Darussalam is not the capital city, it's the country Brunei-Darussalam!
   
 7. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  MwanaF!....Hivi umeshawahi kufikiria kuwa english teacher hivi?..I am just curious maana uko so proactive kuangalia makosa ya watu wanavyoandika hahahahahahah!.....usikonde mwanawane...Ni compliment nakupa....
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135

  Mkuu hata wewe you are misleading people. The capital of Brunei is Bandar Seri Begawan but the official name of the country is the State of Brunei Darussalam . Nakushauri uwe na uhakika na ukisemacho kabla hauja wakosoa wenzio na kuwa kashfu warudie geography ya darasa la nne. Please nakuomba ufuate ushauri wako mwenyewe.
   
 9. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Mkuu hata wewe umekosea, Darussalam sio mji wa Brunei bali ni expression inayotumika kama kuisifia Bruei kuwa nchi tulivu yenye amani. Mji Mkuu ni Bandar Seri Begawan. Wenyewe wanasema State of Brunei Darussalam kama ambavyo sisi tukipenda na kwa sababu nchini mwetu kila mtu ni mwanasiasa tunaweza kuiita Tanzania, the Land of Politicians. Tungeweza pia kuiita Tanzania, where Fisadis Roam Free.
   
 10. October

  October JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  It is high time we do away with this name Dar Es salaam, and restore the original name Mzizima or something better
   
 11. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  No i do agree with you to go back to Mzizima or any other name of that kind it gonna be like moving from capitalism to feudalism or any other stage below it.
  Let it be Dar Es Salaam mji wa maraha ...
   
 12. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 2,050
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Haitusaidii kubadili jina la mji wakati tuna matatizo kibao ya kushughulikia.umeme,maji,miundo mbinu etc.
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ukiona mtu anaongea kwa kashfa nyingi ujue hamna kitu kichwani........so lets pray for him or her.
   
 14. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  kubadili jina la jiji la Dar es salaam, sidhani kama itawezekana, ni jina zuri tu na limezoeleka na unaweza ita vyovyote utakavyo mafano Dar
   
Loading...