iphonex82
Senior Member
- Apr 16, 2019
- 107
- 144
Foundation course yenyewe ilikuwa lazima upate D ya masomo ya science zote. DIT sio mchezo mchezo usije ukamwona mwanafunzi wa DIT anatembea na Kandambili POSTA washavurugwa ila naona siku hzi kuna mashalobalo DIT wagumu wamepungua sana maana kipind cha nyuma DIT MWAMASU alikuwa anatoka MWANZA na nguo 4(suruali 2 na shrt 2) anasurvive nazo mpaka semister inaisha. Kupigwa SUPP 8 jambo la kawaida sanaKwa masomo ya sayansi ishakula kwangu. Hakuna foundation course?