narung'ombe na kongoIle mitaa ya kariakoo me ndo inaniacha hoi sijui mtaa wa agrey mara msimbazi mara uhuru jangwan mtaa wa kongo mtaa wa swahili yaan iyo mitaa sijuinmipaka yake ni ipi
Dar kila kitu ni uzushi uzushi tuHivi BAMAGA ni Mwenge Au Sinza!?
HONGERA BAR ni Sinza Au Kijitonyama?
Chuo Cha Ustawi Ni Sinza Au K'ijitoNyama?
ITV Iko Mikocheni Au Mwenge?
COCO BEACH Iko Masaki Au Osterbay?
MLIMANI CITY Iko Ubungo Au?
SAYANSI Iko Kijitonyama Sasa Kwanini ROSE GARDEN Ni Mikocheni?
Clouds FM Ni Mikocheni Aaaf Kwanini EFM Ni Kawe !?
Hii Mipaka Ikoje Ikoje!?
KinondoniStudio ipo Kinondoni au mwananyamala
ITV iko mwenge ila radio One ndo iko mikochenHivi BAMAGA ni Mwenge Au Sinza!?
HONGERA BAR ni Sinza Au Kijitonyama?
Chuo Cha Ustawi Ni Sinza Au K'ijitoNyama?
ITV Iko Mikocheni Au Mwenge?
COCO BEACH Iko Masaki Au Osterbay?
MLIMANI CITY Iko Ubungo Au?
SAYANSI Iko Kijitonyama Sasa Kwanini ROSE GARDEN Ni Mikocheni?
Clouds FM Ni Mikocheni Aaaf Kwanini EFM Ni Kawe !?
Hii Mipaka Ikoje Ikoje!?
Mtu wa system alafu haujui mitaa ya kariakoo🤔🤔🤔.Ile mitaa ya kariakoo me ndo inaniacha hoi sijui mtaa wa agrey mara msimbazi mara uhuru jangwan mtaa wa kongo mtaa wa swahili yaan iyo mitaa sijuinmipaka yake ni ipi
😀😁😄 kuwa mtu wa system haifanyi nijue mitaa yote ya kariakoo me sio wingaMtu wa system alafu haujui mitaa ya kariakoo🤔🤔🤔.
Kuna ndugu yangu Yuko huko.anajua vichochoro vyote vya dar.
Yule mwamba anatembea
Ipo MwananyamalaStudio ipo Kinondoni au mwananyamala
mpaka unakua mwisho wa jengo hilohilo.. nandio mwanzo wa jengo jingine tena.Ile mitaa ya kariakoo me ndo inaniacha hoi sijui mtaa wa agrey mara msimbazi mara uhuru jangwan mtaa wa kongo mtaa wa swahili yaan iyo mitaa sijuinmipaka yake ni ipi
Hivi BAMAGA ni Mwenge Au Sinza!?
HONGERA BAR ni Sinza Au Kijitonyama?
Chuo Cha Ustawi Ni Sinza Au K'ijitoNyama?
ITV Iko Mikocheni Au Mwenge?
COCO BEACH Iko Masaki Au Osterbay?
MLIMANI CITY Iko Ubungo Au?
SAYANSI Iko Kijitonyama Sasa Kwanini ROSE GARDEN Ni Mikocheni?
Clouds FM Ni Mikocheni Aaaf Kwanini EFM Ni Kawe !?
Hii Mipaka Ikoje
Agrey na rikomaIle mitaa ya kariakoo me ndo inaniacha hoi sijui mtaa wa agrey mara msimbazi mara uhuru jangwan mtaa wa kongo mtaa wa swahili yaan iyo mitaa sijuinmipaka yake ni ipi