Hamna kitu.Kwa aina ya marais tunaokuwa nao na tabia za watanzania kubung'aa macho pale watu wanapotafuna nchi yao wenyewe.Ndhani hiyo ni LUSAKA 2060 au KAMPALA 2060
By the way, watu watazaliwa, watu watakufa - Dar will never be like this kwa staili ya watawala tulionao. Ila tukipata viongozi, angalau ndoto za namna hiyo tunaweza kuanza kuzipata, maana kwa sasa ndoto ni namna ya kupambana na maaskari watiifu wa wapindisha sheria, ndoto za kutafuta ugali, na zinazofanania njaa njaa tu.