Al kimiya(chemistry)kumradhi naomba kufahamu mfano wa maneno ya kiarabu kwenye sayansi
aisee shukrani sana boss umenijuza mapyaAl kimiya(chemistry)
Alcohol
Algebra
Algorithm
Alkaline
Almanac
Azimuth
Elixir
Aniline
Soda
Zenith n.k
Kuna technical terms,katika engineering, Uhandisi,(neno la kiarabu),military (jeshi,neno la kiarabu),katika biashara(neno la kiarabu),kuna maneno mengi ya kiarabu.Kama
Admiral
Adobe
Alcove
Amber
Na pia majina ya nyota na anga za juu,ni majina ya kiarabu.
Hata Arsenal ni neno kiarabu,yaani mahali pa kutengeneza vitu(house of manufacturing).
Hata Tabora ilikuwa inaitwa Matobholwa,Kinshasa-Leopoldville
Asante ndugu yangu, nilijibu kwa kuvuta kumbukumbu za akina Samuel Doe na Blaise Compaore na Thomas Sankara.Una point ya msingi sema umechapia...
Rhodesia zilikua mbili southern na northern....ambapo sasa ni zimbabwe na zambia.
Ivory Coast haijawai kubadilishwa jina ilo jina ni version ya english ya cote'd ivoire.
Cape verde ni nchi tofauti na burkina faso. Haijawai kuchange name.
Burkina faso zamani ilikua inaitwa upper volta...mjii mkuu ndo huo Wagadugu
Ghana ilikua inaitwa Gold Coast.
Kinshasa-Leopoldville
Hiyo ni mifano tu japo siungi mkono mtoa mada mana siamini kua jina likibadilishwa ndo wakazi wa Dar watakua na maisha bora...
Dah kiwiko huna point.Habari wakuu,
Hili jina ni la jiji kubwa kuliko yote nchini cha kushangaza ni la Kiarabu wakati nchi ni ya kiafrika tena wabantu.
Kwakweli ili kulinda utambulisho wetu napendekeza jina libadilishwe liwe la kibantu kama mikoa mingine tena la kizaramo kabisa.
Haiingii akilini kuwa na jina la Kiarabu kwa mji wetu huu wa kibiashara.

mi nitaliita bongo sio dar es salaam inabidi tulibadilishe. Bongo ndio limekaa poa jepesi kulitamka na ni neno la waswahiliHabari wakuu,