Dar es Salaam ibadilishwe jina

Dar es Salaam ibadilishwe jina

Lingekua Washington usinge sema libadirishwe kinacho kusumbua hapo ni roho mbaya ya ugalatia unashindwa kuangalia nini maana ya jina la dar es laaam sema sasa na ikulu ivunjwe kwa sababu imejengwa na waarabu
Nyie waislam weusi mnawaabudu waarabu sana wakati nyie mkienda kwao kua mabeki 3 wanawatupa magorofani....
Sasa mambo ya udini apo yametoka wapi....ndo mana waarabu kila siku wanawajambia jambia tuu
 
Ili ionekane rc kafanya kitu cha kipekee, hizi kick zitawaua
 
Salisbury- Harare
Rhodesia- Zimbabwe
IvoryCoast- Ougadugu
Cape Verde- Burkina Faso
Congo- Zaire
Lawrence Marquess- Maputo
Ugalatia uko wapi hapo wewe Mamumaa?
Una point ya msingi sema umechapia...
Rhodesia zilikua mbili southern na northern....ambapo sasa ni zimbabwe na zambia.

Ivory Coast haijawai kubadilishwa jina ilo jina ni version ya english ya cote'd ivoire.

Cape verde ni nchi tofauti na burkina faso. Haijawai kuchange name.

Burkina faso zamani ilikua inaitwa upper volta...mjii mkuu ndo huo Wagadugu

Ghana ilikua inaitwa Gold Coast.

Kinshasa-Leopoldville

Hiyo ni mifano tu japo siungi mkono mtoa mada mana siamini kua jina likibadilishwa ndo wakazi wa Dar watakua na maisha bora...
 
Habari wakuu. Hili jina ni la jiji kubwa kuliko yote nchini chakushangaza ni la kiarabu wakati nchi ni ya kiafrika tena wabantu.
Kwakweli ili kulinda utambulisho wetu napendekeza jina libadirishwe liwe la kibantu kama mikoa mingine tena la kizaramo kabisa.
Haiingiii akilini kuwa na jina la kiarabu kwa mji wetu huu wa kibiashara.
MZIZIMA
 
Hiyo pia ni kiarabu,tena hapo ndio kiarabu kinachoitwa classic Arabic.Uarabu huwezi kuuondoa dunia,mpaka maneno mengi ya kisayansi ni ya kiarabu.
Ni kweli limetoka kwenye kiarabu ila limebatizwa kuwa kispaniola. Hiyo ndo point yangu
 
Na bado baraza la kiswahili linazidi kutupa maneno mapya ya kiarabu kama hili neno mbashara, hivi walikosa neno la kibantu?
 
Hiyo pia ni kiarabu,tena hapo ndio kiarabu kinachoitwa classic Arabic.Uarabu huwezi kuuondoa dunia,mpaka maneno mengi ya kisayansi ni ya kiarabu.
kumradhi naomba kufahamu mfano wa maneno ya kiarabu kwenye sayansi
 
Ndugu yangu sio vizuri kuingiza udini kwenye hii mada. By the way wakati wa utawala wa wajerumani baadhi ya mikoa ilikua ina majina ya kijerumani ila baadae ilikuja kubadirishwa
kama upi
 
Hii Dar es Salaam imetokea wap sasa?
Jina la dar-es-salaam ni la kiarabu, ila tatizo lilikuja kwenye kusikia na utamkaji wetu sisi waswahili, badala ya kutamka darul-salaam( jiji salama) sisi tukakosea na kutamka dareslam.
 
Hitler anasema "ni bahati iliyoke kwa watawala kwamba watu hawafikiri?"...tatizo la Tz ni *kutokufikiri* ...na pia nimkariri PLO Lumumba "kuna njia tatu za kuwa katika dinner; waweza kuwa mlaji (the diner), au waitress au chakula"....Watanzania kwa bahati mbaya ni *chakula*.....hatujui hata historia ndogo yaa nchi yet? Hivi huyu anajua mchakato wa kupatikana jina Tanganyika ulikuwa na majina yapi yalipendekezwa kabla ya kura kuiangukia Tanganyika? Yaani hii nchi hii...
 
Back
Top Bottom