😂😂😂😂😂😂 umesahau vimeza vya machinga! Sekta iliokuwa toka kitu cha daladala Mnazi mmoja mpaka CBE 😁Sekta inayokuwa Kwa Kasi Dar ni vibanda vya mihogo ya kukaanga, dagaa na pilipili. Kuni zinapikiwa mpaka katikati ya jiji.😄😄🤣🤣
Siasa za ujamaa zinaiangamiza nchiDar es Salaam inachakaa kwa kasi ya ajabu. Mtaa wa Samora, moja ya mitaa ya jiji iliyokuwa kitovu cha biashara ya bidhaa halisi kwa sasa inatia huruma. biashara ni kama hakuna na zilizobaki hazina wateja. ule ukijani na marashi ya Mtaa wa Samora sasa ni historia...
Dar es Salaam inachakaa kwa kasi ya ajabu. Mtaa wa Samora, moja ya mitaa ya jiji iliyokuwa kitovu cha biashara ya bidhaa halisi kwa sasa inatia huruma. Biashara ni kama hakuna na zilizobaki hazina wateja. ule ukijani na marashi ya Mtaa wa Samora sasa ni historia...
Wamachinga wamekuwa kero ... Wanajenga vibanda au wengine wanafanya biashara sehemu zisiso rasmi ...Wawekezaji ni Machinga tu!
Inamaana tumerudi kule😱😱Siasa za ujamaa zinaiangamiza nchi
Kufifia kwa Dar hakupimanishwi na kukua kwa Dodoma. Dodoma kwa Dar labda uiringanishe na pale Mbezi Mwisho (Kwa Yusuf)Dodoma ndiyo habari ya mjini
Nenda dodoma
Mimi nipo rukwa
Kama ambavyo G20 zikipata shida kiuchumi madhara yanashuka mpaka third world.Wewe huelewi kwamba Dar ikiungua, huko kwingine kunateketea.