Dar es Salaam biashara zinakufa kwa kasi sana

Dar es Salaam inachakaa kwa kasi ya ajabu. Mtaa wa Samora, moja ya mitaa ya jiji iliyokuwa kitovu cha biashara ya bidhaa halisi kwa sasa inatia huruma. Biashara ni kama hakuna na zilizobaki hazina wateja. ule ukijani na marashi ya Mtaa wa Samora sasa ni historia.

Mabenki kama NBC ukienda pale Corporate Branch unakuta wateja kwa idadi ya single digit na tellers wawili tu ndo wako on duty. Dar Es Salaam inakufa kwa kasi.

Nenda Mlimani City kuna fremu nyingi tu ziko wazi.

Pita eneo la viwanda Nyerere Road vitega uchumi vya Quality Group sasa hivi ni uwekezaji wa popo na jamii zingine za ndege wa usiku.

Kama nchi nadhani kuna shida mahala.

Rais ajae ana mtihani.
Rudi kwenu ukapaendeleze😂😂, anyway if you risk 1k to get 5k that is a big deal
 
Wewe huelewi kwamba Dar ikiungua, huko kwingine kunateketea.
Sasa unafikiri Dar ikiendelea kupewa vipaumbele kwa kila jambo la kimaendeleo hiyo mikoa mingine inayobaki itaendelezwa lini na nani??
Wimbi la vijana kukimbilia Dar kutafuta maisha litaisha lini??

Kwa mustakabali endelevu wa taifa letu huu ni wakati wa kuiinua kiuchumi mikoa mingine kwa kujenga miundo mbinu na vitega uchumi mbalimbali. Dar es salaam ilipofikia inajitosheleza sana tu.
Tuna mikoa mingi tu yenye hali mbaya kiuchumi hivyo sioni kama ni jambo la msingi kuendelea kuikumbatia Dar peke yake.
 
Dar es Salaam inachakaa kwa kasi ya ajabu. Mtaa wa Samora, moja ya mitaa ya jiji iliyokuwa kitovu cha biashara ya bidhaa halisi kwa sasa inatia huruma. Biashara ni kama hakuna na zilizobaki hazina wateja. ule ukijani na marashi ya Mtaa wa Samora sasa ni historia.

Mabenki kama NBC ukienda pale Corporate Branch unakuta wateja kwa idadi ya single digit na tellers wawili tu ndo wako on duty. Dar Es Salaam inakufa kwa kasi.

Nenda Mlimani City kuna fremu nyingi tu ziko wazi.

Pita eneo la viwanda Nyerere Road vitega uchumi vya Quality Group sasa hivi ni uwekezaji wa popo na jamii zingine za ndege wa usiku.

Kama nchi nadhani kuna shida mahala.

Rais ajae ana mtihani.
Rais ajaye?🤓
 
We are doomed
 
Aisee namuombea sana Manj huko aliko afanikiwe ili angalau afute machozi kwa aliyotendewa na hawa watu wenye roho mbaya.
 
😂😂😂😂😂😂 umesahau vimeza vya machinga! Sekta iliokuwa toka kitu cha daladala Mnazi mmoja mpaka CBE 😁
Nimetembea Dar es Salaam Mambo Magumu
Jiji Lipo Ukiwa Mno, Yaani Nimeanzia Kigamboni Ungindoni, Temeke, Postal, Upanga,External
Hali Siyo Shwari, Iwapo Hali Itaachwa 😑😐
Majengo Mazuri Yamekuwa, Vumbi
Mwanza Kuna Ile Hotel La Cairo Hata Umeme Hakuna
 
Dar es Salaam inachakaa kwa kasi ya ajabu. Mtaa wa Samora, moja ya mitaa ya jiji iliyokuwa kitovu cha biashara ya bidhaa halisi kwa sasa inatia huruma. Biashara ni kama hakuna na zilizobaki hazina wateja. ule ukijani na marashi ya Mtaa wa Samora sasa ni historia.

Mabenki kama NBC ukienda pale Corporate Branch unakuta wateja kwa idadi ya single digit na tellers wawili tu ndo wako on duty. Dar Es Salaam inakufa kwa kasi.

Nenda Mlimani City kuna fremu nyingi tu ziko wazi.

Pita eneo la viwanda Nyerere Road vitega uchumi vya Quality Group sasa hivi ni uwekezaji wa popo na jamii zingine za ndege wa usiku.

Kama nchi nadhani kuna shida mahala.

Rais ajae ana mtihani.
Kama ulipita Jumapili,tena jioni inategemea ukute nini Kama sio ukimya
 
Nani anaweza weka hela zake mahali zinaliwa na fine.
Yani yata kosa dogo tu la kujirekebisha fine ni 4.5M ... sasa unafanya biashara gani hapo.... bado kodi, wafanyakazi, operation charges na ku file returns... ndio mfanyabiashara aone angalao faida, sasa kama mwendo ni kukomoana acha ibaki ilivo tu. .

Watu hawataki process and procedures and retional decisions, ni mwendo wa kutafuta kick na sifa hata kwa mambo yasiyo na maana utadhan ndio mwisho wa kufanya siasa....
 
Back
Top Bottom