Dar: Coco beach pub inawaka moto

Haa πŸ˜„πŸ˜…
Umetoa Taarifa Yako Inafki Sana Yaani Ufukwe Unawaka Moto, Badilika Maana Coco Beach
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kasema Wasijenge Kwa Gharama Ya Billion 14
 
Insurance inatafutwa hapo.. Deal kubwa hiloooooooooo, wajinga ndio waliwao, hapo sababu wanatakiwa kuvunjwa ujenzi ufanyike, watakuwa wamechoma makusudi ili Insurance ilipe billions kisha wanasepa.. Hii michezo ipo sana, kuanzia kule Bagamoyo ilivyoungua ni michezo hii tu.. Insurance italipa billions, chomeni hoteli zenu za makuti na nyie mlio na insurance coverage. πŸ€”πŸ˜‘ I wish i could be NIC Boss, ningekomesha hii michezo
 
Kama ni haki yao sioni tatizo
 
Cocobeach iko oysterbay sio msasani
 
Reactions: BAK
Gari lenyewe limeanguka likiwa njiani kuelekea kwenye tukio(ile sheria ya kurusha picha sijui kama itaniacha salama)
 
Kama ni haki yao sioni tatizo

Kuchoma makusudi, unajua uhuni unaofanywa kisiri sana na watu wa insurance ww? Behind the scene hujui nyamaza, hapo ni deal lishachezwa. Unajua maana ya haki za insurance unafikiri ukichoma makusudi unalipwa tu?
 
Kuchoma makusudi, unajua uhuni unaofanywa kisiri sana na watu wa insurance ww? Behind the scene hujui nyamaza, hapo ni deal lishachezwa. Unajua maana ya haki za insurance unafikiri ukichoma makusudi unalipwa tu?

Wanawezaje jua ni makusudi?
 
daaahhhh beach yote imekauka
 
Wanawezaje jua ni makusudi?

Ngumu kujua, ndio nikasema deal linachezwa mapema behind the scene, then watu wa insurance na owners wa matukio hayo ya kuunguza gari au jengo au hotel za makuti wanaongea mapemaaa, kisha moto unatokeaa paaaaap, kisha malipo lazima walipwe.. Sbb kujua ni makusudi ni ngumu sana.. But jua hilo ni deal kubwaaa, jiongezee
 
Inakuwaje ngumu kujua kama kuna kushikana mikono? Hiyo michezo hadi umeiandika hapa maana yake inajulikana. Ni ukosefu wa uadilifu na weledi kazini. Hizo ni deal kama kibaka tu anapoamua kukwapua.

Kuna fire marshal wako trained kujua chanzo cha moto katika matukio mbali mbali.
 


Hilo sahau kwa hapa kwetu, haya mambo yako na watu wanatajirika kwa haya..
 
Pole yao sana...

Bar inaungua na zima moto nalo limeanguka...

Hivi maji ya bahari hayawezi kuzima moto kwani?


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…