Dar: CCM yatembelea daraja la Bilioni 24 Bonyokwa

Dar: CCM yatembelea daraja la Bilioni 24 Bonyokwa

Hata asingekuwa eda hakuna cha maana ambacho angefanya.

Au we unadhani kuna kipi cha maana angefanya kuzuia upigaji?

Mtu anayesema hadharani;

"Kuleni kwa urefu wa kamba zenu msiingiliane"

"Wasome wezi hadharani wasikie majina yao waone aibu"

"Nyie wakuu wa mikoa nawahamisha ili kuwalinda na makosa yenu"

Utarajie nini cha maana kutoka kwa mtu huyo?

Kwa kifupi nchi inanyambuliwa na kuliwa kwa viwango vya juu kuliko wakati wowote ule.

Tena watu wanafidia walipopoteza wakati wa magu na wanaweka akiba ya kutosha kwa ajili ya rais ajaye kwani anaweza akawa na tabia za magu wakapoteza tena.

Kwahiyo watu wanainyambua nchi vilivyo.

Ni hatari sana.
Kiongozi huyu wa mchongo hawezi kuivusha nchi hii Kiuchumi, Tanzania tumepata bahati mbaya sanaa
 
Hivi hizi figure wanazotuwekea wanakuwa wapo serious au wanatania tu?

Maana kwa pesa zinazotajwa na hiko kidaraja kinachojengwa hapo ni kama mbingu na ardhi.

Hivi daraja la mto wami lilitengenezwa kwa kiasi gani?
Itakua drones zimekuchanganya mimi imebidi niangalie vizuri kwenye Geography kuna topic moja ya upigaji picha Oblique photography & Aerial (Vertical) photography

nimeona hilo eneo ni kubwa sana sio padogo hapo km unavyoona hizo drones zipo juu sana ili ku-capture eneo lote
 
Geography hata mimi nimesoma.

Mambo ya photography reading and interpretation nayafahamu vizuri.

Mambo ya scale distortion na horizon sio mageni kwangu.

Ili tuende sawa watuwekee vipimo vya urefu wa daraja.

Wingi pamoja na urefu wa column zake turinganishe na daraja la Wami.
 
Back
Top Bottom