Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,206
- 35,587
Duh! Lucas Mwashambwa anasemaje?
Acha tupigweKamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala imefanya ziara ya kukagua
miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani humo na kuipongeza Serikali kwa utekelezaji wa miradi hiyo.
View attachment 3682262
Moja kati ya Miradi hiyo ni ujenzi wa Daraja la Bonyokwa
linalojengwa kwa gharama ya sh. bilioni 24.
Akizungumza baada ya kukagua miradi hiyo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Said Sidde, ameeleza kamati imeridhishwa na utekelezaji wa miradi hiyo na kuwataka wakandarasi kuikamilisha kwa wakati ili iwanufaishe wananchi.
Amempongeza Rais Dk. Samia, DC Mpogolo, Mkurugenzi Mabelya na watendaji wa wilaya na halmashauri hiyo kwa usimamizi madhubuti kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa.
hahahahaha, jamaa kama hafaidiki na upigaji wala fursa za ccm, angeachana naoDuh! Lucas Mwashambwa anasemaje?
sema nini pata picha wewe ndio mkandarasi hapo kwenye mradi, halafu wakubwa wanakuambia ww leta bajeti mengine tuachie sisiAcha tupigwe
Afaidiki na upigaji,unaweza kukuta ni mwalimu tu wa primary au afisa mtendaji kata 😄hahahahaha, jamaa kama hafaidiki na upigaji wala fursa za ccm, angeachana nao
Hii nchi hatari sana.ccm huwa wanakula kuanzia ngazi ya kata, huko kata wameachiwa madiwani,wabunge ,wakaurugenzi wa wilaya, halafu kule juu wanakubali wenyewe
Unaumia ila huna namna japo kampuni zenyewe ni za hao wapigajisema nini pata picha wewe ndio mkandarasi hapo kwenye mradi, halafu wakubwa wanakuambia ww leta bajeti mengine tuachie sisi
na uzuri wanajua namna ya kula na kugawana, na ndio maana CAG anaongea yanaishaHii nchi hatari sana.
Ukiifikiria na ukifikiria aina ya viongozi tulio nao unaona kabisa tuna safari ndefu sana kufikia maendeleo ya kueleweka.
Kwa kifupi wizi ndio kipaumbele cha kwanza kwa kila mfanyakazi wa serikali wa hii nchi.
Kibaya zaidi ufuatiliaji wa matumizi ya mapato yetu ni kama wafu wasiotambua lolote.
Unaletewa boti la m70 unaambiwa b1.5 unakubali tu.
Unaletewa coaster ya m100 au pungufu unaambiwa ya m325 unakubali tu.
Ujakaa sawa unaletewa kidaraja uchwara ambacho hakivuki b10 unaambiwa b24 unakubali tu.
Tuna safari ndefu sana.
wewe hapo unaambiwa chukua chako,fanya kazi, mambo ya ukaguzi tuachie sie, ukijua kula nao mbn hawana shidaUnaumia ila huna namna japo kampuni zenyewe ni za hao wapigaji
Hatari sana ila yataisha tu.na uzuri wanajua namna ya kula na kugawana, na ndio maana CAG anaongea yanaisha
wakati huo kuna watu wamekula bilioni nzima, yeye kapewa buku 7Mleta Uzi kishakula zake elfu 7 hana wasiwas,anatuchora tu tunaojifanya tuna uchungu na nchi 😁😁😁
sawa sawaHatari sana ila yataisha tu.
Iwe kwa amani au vurugu.
Mambo ya kipuuzi kama haya yatafikia mwisho wake tu.
Hata asingekuwa eda hakuna cha maana ambacho angefanya.Shilole yupo EDA anakata vitunguu huku nchi inapigwa