Dar bwana!.. maeneo mengi yananuka kinyesi kibichi

uuuuwi i thought ni mimi tuu ndo nasikia hii harufu mbayaaaa.....................na watu pia wanukaaaaa!!! :shut-mouth::nimekataa

aaah boss unaharibu sasa eti tunanuka! Kwani tunalala kwenye mazizi ya nguruwe jaman!
 
niwie radhi wangu kwa kusema watu wanuka pia lakini ndio ukweli!!! (ingawa sikusema kama wametoka zizi la nguruwe)embu siku moja panda daladala ya kila sehemu tegeshea ule muda wa watu kwenda kazini (asubuhi). Lazima utarudi kusema kitu hapa kuhusu hili!!!






aaah boss unaharibu sasa eti tunanuka! Kwani tunalala kwenye mazizi ya nguruwe jaman!
 
Bora asubuhi watu wanajiswafi na unyunyu, balaa lipo nyakati za jioni.
 
DHAIFU na Serikali yake DHAIFU


​



Mkuu lakini hapa haumtendei haki jamaa aisee,Jiji limeanza kunuka kitambo kweli tangu jamaa yupo jeshini enzi hizo!
 
Kwa hiyo pamoja na yeye kuwepo madarakani kwa miaka 7 na anajua fika kama ndio mji mkuu wa Tanzania na pia mji wa kibiashara aachie hali ya uchafu uliokithiri iendelee kwa sababu tu hali hiyo ilianza kabla yake!!!!

Mkuu lakini hapa haumtendei haki jamaa aisee,Jiji limeanza kunuka kitambo kweli tangu jamaa yupo jeshini enzi hizo!
 

Kuna sababu kuu 3
1. Asilimia kubwa ya wakazi wa Da slam wanaishi na mavi kwenye makazi yao, wanayaifadhi ama kwenye vyoo vya shimo au septic tanks kwa wale wajanja wenye vyoo vya ndani
2. Mji kutopangika na kupuuzia sheria na taratibu za makazi matokeo yake overcrowding
3. Kuendekeza tabia za ki Asia
 

pamoja sana lakini hatari zaidi jioni unaweza hisi daladala imebeba mabeberu ya mbuzi mkuu.
 
City center ndio imeoza kabisa..kunanuka balaa... Dar jiji chafu namba moja afrika mashariki na kati
 
Kwa hiyo pamoja na yeye kuwepo madarakani kwa miaka 7 na anajua fika kama ndio mji mkuu wa Tanzania na pia mji wa kibiashara aachie hali ya uchafu uliokithiri iendelee kwa sababu tu hali hiyo ilianza kabla yake!!!!


Pamoja na yeye akiwemo lakini serikali ya ccm kwa ujumla kuanzia mwalimu,mzee ruksa na ben wameonyesha udhaifu mkubwa kwenye hili!
 
Hata siku moja inapokuja kwenye utendaji kama kiongozi wa nchi Mwalimu hawezi kuwekwa kundi moja na mafisadi akina Mwinyi, Mkapa na DHAIFU.

Pamoja na yeye akiwemo lakini serikali ya ccm kwa ujumla kuanzia mwalimu,mzee ruksa na ben wameonyesha udhaifu mkubwa kwenye hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…