mvua ikinyesha ndio watu hupata chance ya kutapisha vyoo free ndio maana jiji linnuka mkuu..........Kila siku nikipita mitaa mbali mbali ya Dar es Salaam nasikia harufu ya fresh kinyesi, hivi ni nini hasa, ukichukulia mvua sasa hivi hazinyeshi ila mitaa inanuka kana kwamba jamaa wanajisaidia kwenye mitaro. Si uswahilini, si masaki, si mikocheni,, kote kunanuka tu. Hivi nani muhusika mkuu kusimamia mambo haya?
dar ni jiji kunuka....
Kuna ukweli ndani ya maneno yako lakini vilevile jichunguze na mwenyewe usijekuwa unatembea na liharufu lako la kinyesi kibichi ukafikiri maeneo yote yananuka kumbe ni mwenyewe mwenye kutema halufu...Kila siku nikipita mitaa mbali mbali ya Dar es Salaam nasikia harufu ya fresh kinyesi, hivi ni nini hasa, ukichukulia mvua sasa hivi hazinyeshi ila mitaa inanuka kana kwamba jamaa wanajisaidia kwenye mitaro. Si uswahilini, si masaki, si mikocheni,, kote kunanuka tu. Hivi nani muhusika mkuu kusimamia mambo haya?
leo nimepita manzese nilitaka kutapika, itz like septic malignant ulcer.
Bado tu hamjaona umuhimu wa kuwaiga madiwani wa Moshi kwenda KIGALI kujifunza usafi?????