Dar, Banana: Rais Magufuli azindua nyumba za Askari Magereza Ukonga

Mara ya mwisho kusafiri kwako ni lini??
Kumbe mpiga kura wa Magufuli mtu wa kijijini ili ayaone maendeleo ni lazima asafiri akayaone si ndio? Sio yamfuate

Hujaona Barbara??.
Kajenga kijiji gani?

Muhimbili, hospitali ya mkapa Dodoma,
Muhimbili na Benjamin Mkapa siku hizi ni kijijini?

vituo vya kila kata n.k.... Uliviona lini hivi wewe?.
Hapa ndiko nakokupenda sana,kajenga vituo vipya vya afya madawa na facilities zingine mmepeleka wapi?
Kuna vituo vya afya navifahamu ukienda una CHF hupati hata panadol ukienda na NHIF unapata panadol tu zingine unaonyeshwa duka ambalo linapokea NHIF

Ukiwa mtu mwenye akili anathamini kuwekewa miundo mbinu ya kutafuta hela kuliko kupewa hela. Nina mashaka na uelewa wako
Hiyo miundo mbinu Magufuli kamuwekea mpiga wake kijijini lini?
Mtu wa kijijini hata elfu tano ana koswa na hana namna kabisa ya kuipata.
.
Huwezi kuwa na mashaka na uelewa wangu kwa sababu tu ya kumkosoa kiongozi unayempenda huu ni ujinga
 
Roving Journalist,
Inasikitisha kuona bado kuna viongozi waandamizi wanaendeleza mambo ya ajabu. bora hatua zinazochukuliwa dhidi yao ziendelee huenda waliobaki watabadilika. Big Up Mhe. Rais.
 
You're one of those fools wa Yericko Nyerere.
China kwa miaka 20 iliyopita wametoa watu kwenye umasikini million 300 kuwa middle incomers only 20 years!
.
Serikali ya Ccm iko madarakani kwa muda gani?
Magufuli alivyokuwa akiahidi hakujua hayo yanahitaji kutekelezwa ndani ya miaka mitano tu?
Nyie si mnaamini democracy ni maendeleo??? China ilichukua hatua ya kusimamisha vyoote na kusema tunataka China iende, kwa kunyonga mafisadi, uchaguzi Wa vyama vingi ukae pembeni kwanza na hatimaye China unaiona hiyo
 
Jibu swali kwanza kabla sijakuuliza swali jingine la msingi sana.
Wapiga kura wa magufuli ni watu wa vijijini (wengi wao ni wajinga na halina mjadala hili) majengo hayo yana msaada gani kwao?
.
Note; niko upande wa mwananchi wa kawaida kabisa wa kijijini kwa sasa ili nijue faida ya haya majengo kwao
Nimsaidie, majengo ni ya waajiriwa wa serikali ambao ni watoto na ndugu wa hao watu wa vijijini. Wengine wanasomesha wadogo zao huko. Pia kazi zao ni kuhakikisha wale vibaka, wezi na majambazi yanayosumbua huko kijijini na mjini yakikamatwa basi yanadhibitiwa kisawa sawa.
 
Wangetakiwa wampeleke Rais mbele kidogo tu ya hiyo barabara ya kwenda Kitunda ili akaone jinsi wananchi wake wa huko wanavyoishi maisha mazuri. Barabara hiyo ina mahandaki hatari! sasa yapata miaka 4 ina hali hiyo hiyo na haijawahi kufanyiwa matengenezo. Huko wanaishi asilimia 90 ya wakazi wa hilo jimbo la Ukonga. Maendeleo hayana chama...
 
Dili wakipiga wao ni halali wakipiga wapwa wetu halamu

Ebu tujiulize bunge lipi lilikaa likapitisha bajeti ya ununuzi wa zile ndege

Kwaiyo mzee asitokwe povu watendaji wake waneiga style yake ya uongozi

Alafu kangi mpigaji tuhuma ya kuomba ruswa wizara furani ilishia wapi

Sema sasa wazee militaka kupiga peke yenu hilo ndio tatizo maboss wamestuka
 
Chakaza umenichekesha kweli, Ndg yetu Kange na Andengenya warudi kitaa tupambane na hali.
Mkuu hana simile, ndo hivyo tena!!
 
Habari kubwa leo ni ya rais JPM kumtumbua alikuwa waziri wa mambo ya ndani Mh Kangi lugola baada ya kuonekana mapungufu na uzembe katika wizara hiyo,raisi Magufuli azungumza haya.


. Breaking JPM amtumbua kangi lugol...i tena jiudhulu https://youtu.be/Q980BaKou6o


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom