Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,101
Jaribu bm coach ,marangu coach ..kilimanjaro ..extra luxury coach
Kidia One hapo hujakosea kabisaKilimanjaro,kidia one
Hilo si linaendaga Ifakara,Wachaga na wachuga hawawezi wakalipanda hilo basiKidinilo
Sawa mkuuHilo si linaendaga Ifakara,Wachaga na wachuga hawawezi wakalipanda hilo basi
Hahhaahhaaha pole mkuuuMara ya kwanza kutoka Arusha nilipanda Saibaba nilijuta siitaki Tena Ni kimeo kabisa inatembea Kama bajaj
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili la free WIFE na mimi itabidi nisafiri nalo!