Dar-Arusha kwa basi

Dar-Arusha kwa basi

Wengine hapa acheni UNAFIKI, kwanza hakuna basi Dar - Arusha la mohamed trans pili, mtu anataja basi la ukoo wako na halina huduma nzuri hiyo haijakaa sawa.
 
Liendalo mwendo mzuri bila haraka + huduma nzuri +Nyimbo za dini =KILIMANJARO

mwendo wa wastani + huduma nzuri +Nyimbo za dini=Dar Express

Usafi ndani na huduma nzuri + free wife =DAR LuX

bei ya kawaida + huduma kawaida+Katooni = Ngorika/Buff

bei ya kawaida + huduma kawaida+video za bongo movie=

NB: .....Chamsingi Ufike Salamaa....hayo mengine Mipango ya Mungu
Hili la free WIFE na mimi itabidi nisafiri nalo!
 
Habari zenu waungwana, samahani kwa usumbufu, naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa safari za dar-arusha ni basi gani luxury sana, nataka nimsafirishe mtu ambaye afya yake ni dhaifu kidogo.
Marangu coach
Habari zenu waungwana, samahani kwa usumbufu, naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa safari za dar-arusha ni basi gani luxury sana, nataka nimsafirishe mtu ambaye afya yake ni dhaifu kidogo.
Marangu Coach,hutajuta
 
Dar express
Habari zenu waungwana, samahani kwa usumbufu, naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa safari za dar-arusha ni basi gani luxury sana, nataka nimsafirishe mtu ambaye afya yake ni dhaifu kidogo.
 
Back
Top Bottom