samson umeongea kweli na pia mimi hilo swala linanichanganya pia. Kuna kipindi hapo nyuma nilisafiri kwa kutumia precision. Sasa flight yao ikawa ya asubuhi sana ikabidi niulize kama wanatoa huduma ya shuttle kutoka town centre moshi mpaka kia. Wakanijibu ndio. Siku ya siku nafika asubuhi napanda shuttle bus tunafika airport naona naambiwa nitoe 10,000. Sasa nikashindwa kuelewa hii shuttle bus ni ya presicion au ya mtu binafsi? Na kama ni ya presicion why would they charge kwa sababu tayari ushalipa karibia laki 3 ya tiketi. Kwa nini isiwe courtesy kwa wateja wao?? I was confused and unfortunately i had nowhere to raise it for more clarifications.
Ohh..thanks for info..tutaufanyia kazi huu ujumbe..Walivyo na roho zauzinzi wamejaza mabinti wanajipodoa kama wanawatafutia wateja wa kuolewa hii nchi inaelekea mbali...hao madada ukiwaona wanaanza kulegeza eyes sijui kwingine mungu aturehemu....wana bussiness card wako kikazi zaidi
Huu ndio uzuri wa kuwa na JF. Narejea mwanzishaji wa hii thread na aliyefuata kuchangia. Sioni ubaya wowote biashara hiyo kuanzishwa ili mradi iwe halali. Tax zipo zinachaji 30,000/= sasa kwenda town center, daladala zipo zinachaji 350/= kwenda town center, tax za kuchangia zipo zinchaji 1000/= kwa kichwa wakati zinarudi town center, unaweza pia kusafiri kwa miguu, baiskeli, pikipiki na kadhalika. Uwezo wako. Mbona usafiri huu mwingine hamuulalamikii? Hiyo ni bishara tu kama nyingine.
Mbona hamlalamikii wasichana kuhudumu ndani ya ndege? Kwani wao hawarembui macho?
Hawa wameshakuambia Airport-ATC House shutle ni 10,000/=. Amua kupanda au kuacha. Hulazimishwi. tena umetajiwa bei mpaka gezetini ili uamue mapema usafiri utakaotumia. Mwisho, kama uliuliza usafiri wakutoka Moshi kwenda KIA upo ukaambia upo, Je, ulitaka upelekwe bure? Jamani, si ulikata tiketi ya ndege? Usafiri wa bure tena? Punguzeni ulalamishi. Hata lingekuwa kanisa lingekuomba sadaka.
Congo read between the lines my dear. Ni hivi,hatujakataa kuwa ni biashara sawa. lakini pia, ni bora uniambie kuwa nitalipishwa kiasi fulani for this trip instead ya kuacha mteja akidhani kuwa ni courtesy ya airline sawa mwisho wake unakuja kumcharge nauli.
Pili, kuna njia mbalimbali za kuvutia wateja na mojawapo ni kama hiyo, toa shuttle services for free ili uwe unapata wateja kwa wengi. sasa nishakuchagua wewe unifikishe kule nakotaka kwenda among the many airlines or rather few kwa case ya Tz halafu bado tena uwe unanicharge shuttle services ambalo ni basi lako.........no way
a new life in kierefaso!!Wapendwa
kuna basi zinajiita dar airport shuttle kutoka airport kwenda sehemu zingine na mjini nimeona wanaishia ATC HOUSE...nimejiuliza huu ni mtaji wa nani...na kama ni biashara kwa nini wafikie kumwaga abiria ATC HOUSE na si QUALITY PLAZA office za precission???na kama ni kwa ajili ya kampuni fulan kwa nini abiria walipe pesa za kuja ama kwenda airport ??Embu tuwe fair jamani transpo ni moja ya offer kwa abiria wanalipa pesa mingi sana sidhan wanastahili kulipishwa hata pesa za kwenda na kurudi aiport
Wana anga embu muwe fair kwa hili na kama ni biashara ya mtu bianfsi iweje iwashushe abiria kwenye ofisi za watu....na huku wengine wakiipigia debe watu waende kupanda hizo basi....???angalien msikose abiria kwa kuanzisha kitu ambacho kitawaumiza wenyewe..kama mjini airprt 10,000 na airport mjini 10,000 kwa nini mtu asipande tax akiwa mwenyewe alfu 10???embu angalien na fair yenu jamani punguzeni kama mko sirias kuwasaidia wateja
huu ndio uzuri wa kuwa na jf. Narejea mwanzishaji wa hii thread na aliyefuata kuchangia. Sioni ubaya wowote biashara hiyo kuanzishwa ili mradi iwe halali. Tax zipo zinachaji 30,000/= sasa kwenda town center, daladala zipo zinachaji 350/= kwenda town center, tax za kuchangia zipo zinchaji 1000/= kwa kichwa wakati zinarudi town center, unaweza pia kusafiri kwa miguu, baiskeli, pikipiki na kadhalika. Uwezo wako. Mbona usafiri huu mwingine hamuulalamikii? Hiyo ni bishara tu kama nyingine.
Mbona hamlalamikii wasichana kuhudumu ndani ya ndege? Kwani wao hawarembui macho?
Hawa wameshakuambia airport-atc house shutle ni 10,000/=. Amua kupanda au kuacha. Hulazimishwi. Tena umetajiwa bei mpaka gezetini ili uamue mapema usafiri utakaotumia. Mwisho, kama uliuliza usafiri wakutoka moshi kwenda kia upo ukaambia upo, je, ulitaka upelekwe bure? Jamani, si ulikata tiketi ya ndege? Usafiri wa bure tena? Punguzeni ulalamishi. Hata lingekuwa kanisa lingekuomba sadaka.