Dar: Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua mkewe

Hamna lolote nyie. We subiri uone wenzio watakavyomponda hapa lakini siku ya tukio walimpa kongole.
Sasa yeye aliyebaki duniani na mke wake marehemu nani kapumzika kwa amani?
hahahahahahaa wote tutaenda kupumzika tu ujue shem
 
Ni kweli. Lkn huoni kwamba huyu mwenzenu atafika amechoka sana? Hatakuwa sawa kisaikolojia...
Alipaswa ampe talaka mkewe avute pisi nyingine kali, sasa hivi angekuwa anafurahia maisha.
Huu ushauri wako mzuri sana sana, hapo umesema vyema.
 
Hamna lolote nyie. We subiri uone wenzio watakavyomponda hapa lakini siku ya tukio walimpa kongole.
Sasa yeye aliyebaki duniani na mke wake marehemu nani kapumzika kwa amani?

Binafsi simlaumu hata kidogo, pombe inasaidia sana kupuuzia vitu vidogo vidogo kwa wenzetu ila kiukweli wanakwaza
 
Mtu anaoa anamuweka ndani mke mwenye kila kitakiwacho, wanafurahia mahusiano ghafla mwanaume anajiona kidume.

Anaanza kuchepuka anarudi alfajiri bila maelezo, akiulizwa anageuza kibao eti, eti mke hana utii, ana mdomo, ana kelele ndio anakuwa amepata sababu ya kuhalalisha alilolianza....

Eti mwanamke hakasiriki, hana hasira, haumii, haathiriki kisaikolojia yaani aendelee kumfurahia mume anayetaka utii kwa kunukuu vitabu vitakatifu bila yeye kutimiza aliyotakiwa na kitabu hichohicho....

Hongera zao wanaoishi bila kuumizana hisia...Mungu awalinde. Awaepushe na wala msije kuwa kama haya mengine yanayodhani yakioa mke hawezi kuondoka, mke akiondoka anamtafuta amuue eti amkomoe na kukomoa wampendao....STUPID
 
Haya mambo kama mwanaume hupaswi kumcheka mwanaume mwenzio... hawa viumbe wanakwaza sana kama huna moyo wa kusamhehe na kumove on aisee unafanya mambp magumu. Katumikie adhabu kamanda huwezi jua nani kesho atakufataa.
Ndo umuue mkeo???Si umuachee TU.mbona mtaenda wengi msipojiangalia
 
Back
Top Bottom