Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,160
- 11,228
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mgombea wa ubunge wa jimbo la Makambako amesema mwaka 2020/2021 hatukuwa na ruzuku ya pembejeo za kilimo, lakini ni Samia Suluhu aliyekuja na maamuzi makubwa ya kuweka pembejeo.
Ameyasema hayo katika kampeni ya Samia Suluhu inayofanyika katika mkoa wa Songwe leo Septemba 3, 2025
Ameyasema hayo katika kampeni ya Samia Suluhu inayofanyika katika mkoa wa Songwe leo Septemba 3, 2025