Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Wakuu
Daniel Chongolo ameamua kujitosa katika mbio za kugombea ubunge zinazoendelea kupitia tiketi ya CCM.
===
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika
"Namshukuru Mungu, nimefanikiwa kuchukua na kurejesha fomu salama za kuomba ridhaa ya Ubunge katika jimbo la Makambako mkoani Njombe. Lengo ni utumishi, na kwa hakika nipo tayari. ##NaendeleaKujifunza"
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025