PreGE2025 Daniel Chongolo ajitosa jimbo la Makambako

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kinachonishangaza hapa wengi hawaridhiki na CCM System, lakini wanafanya comment kwa kudhani ati Fulani atakuwa afadhali. Chongolo au Jah People, wote watakuwa chini ya CCM System, Chawaism, hakuna jipya hapo. Chawa ni Chawa tu hata awe nani, ili mradi yupo CCM hakuna unafuu. Reforms------------------!!
 
Maono yapo tofauti
 
Back
Top Bottom