Daniel Anthony maarufu kama “Jay Boogie” mtetezi wa LGBTQI barani Afrika

Daniel Anthony maarufu kama “Jay Boogie” mtetezi wa LGBTQI barani Afrika

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,514
Daniel Anthony, kijana kutoka Nigeria ambaye anafahamika zaidi kwa jina la kisanii “Jay Boogie”, ameibua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza waziwazi kuwa anajivunia kusimama kama mtetezi wa jumuiya ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (LGBTQI) barani Afrika.
1755706611671.jpg

Jay Boogie ameonekana kufuata nyayo za Bobrisky, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusiana na umaarufu mkubwa kama shoga maarufu zaidi barani Afrika. Hata hivyo, tofauti yake kubwa ni kwamba amefanyia mwili wake mabadiliko makubwa sana yanayomfanya afanane zaidi na mwanamke, jambo ambalo limezua gumzo kubwa na kuibua mijadala mitandaoni.
1755706606785.jpg

Ukisikia kauli ya kwamba MTOTO WA KIUME ni Endangered Species ni kweli kwa 100%, mzee baba kaona uvivu wa kushughulikia vipochi na kutoa makamasi mengi, kaona aende upande wa pili.
1755706608933.jpg

Kama umeshalewa pombe na umepoteza network unaweza kubeba chombo ukidhani ni pisi kali kumbe umelala na kidume mwenzio.
 
Back
Top Bottom