OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Tatizo mmesahau zama hizi vyuo vimefunguliwa mpaka mtaani tunakoishi jamani....
mmekariri kuwa vyuo ni UDSM,IFM, UDOM,DIT, CBE, MZUMBE........
nenda buguruni, manzese, migo migo...............vyuo kibao vya sekreatieti, masoko, management, computer
Kalaghabhao.............
Unajua maana ya chuo kikuu wewe mbwiga!!!!! Hebu soma heading tena