Majan
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,298
- 1,876
Duh asee hii inawezekanaje kiwanda kikubwa kama kile hakina umeme wa TanescoKiwanda mpk leo hii hajawekewa umeme.....alikuwa anatumia generetor ....hii Ndy nchi ya viwandaaazzzz banaaa
OVA

Kuna kiwanda kinajengwa shinyanga,saruji itashuka tu.