Dangerous hzcker in the world

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
FB_IMG_1553673767357.jpg

Mod edit hacker sio hzcker
 
si kweli....
ES ali leaked highly classified information from the National Security Agency(nsa) zinazoonyesha Uncle sam anavyo spy( mass surveillance) kila mtu kwenye hii dunia,,,,,
baadhi ilikuwa ni simu na email za viongozi wakubwa kama Angela Merkel huyo wa german ambaye baadaye alimpigia simu obama na kumwambia "spying on friends was "never acceptable, no matter in what situation"
pia zilionyesha jinsi NSA wanavyoweka Backdoor kwenye makampuni makubwa ya tech
 
pia Edward snowden Kwenye hizo doc alizozileak zilionyesha NSA Wana direct access za information yako kutoka facebook, Google, Microsoft, Yahoo, PalTalk, AOL, Skype, YouTube and Apple ,,
pia NSA wametap internet access wordwide:eek:,,
moja ya program waliyonayo ni SOMALGET(MYSTIC) ambayo hii inarecord na kusave simu zote zinazopigwa huko bahamas,baadhi ya nchi ambayo Mystic document zilionyesha zinazooperate ni Mexico, ufilipino na Kenya:cool:.
huku N
orth Korea, fatboy akijulikana kuwa na kikundi cha Cyber army ..
uncle sam anao
Tailored Access Operations (TAO) Hawa ni elite hacker wa NSA.......
....NITARUDI....



 

Similar Discussions

Back
Top Bottom