Dancing floor,stage,back stage. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dancing floor,stage,back stage.

Discussion in 'Entertainment' started by chapaa, Jun 18, 2009.

 1. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2009
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Waungwana kuna kitu hapa kinanitatiza inawezekana uelewa wangu ukawa mdogo,hivyo bac ningeomba wana jamii tukaelimishana kidogo kati ya vitu nilivyo taja hapo juu na ni wakati gani vinatumika?thankx
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 764
  Trophy Points: 280
  hiyo dancing floor kwanza ni kiswengleza, yaani ni mchanganyiko wa herufi za kiingereza na dhana ya kiswahili(baraza ya kusakatia rhumba).Neno sahihi la kiingeraza ni DANCE FLOOR.
  Swali lako halieleweki au mimi ndio silielewi, unamaana gani unaposema wakati gani yanapotumika haya maneno(kwa maana ya muktadha au context!!!) au wakati gani hivyo vitu vinatumika?(kwa maana ya shughuli yenyewe au function!!!) Kama hiki si kitendawili ngoja nijitose kwa kukujibu kuwa:
  1./Dance floor...ni sehemu ya ukumbi, au jukwaa ambayo imetengenezwa maalum kwa kusakata magoma.
  2. Stage au jukwaa ni sehemu iliyoandaliwa kwa ajili shughuli fulani tena hutengwa ilikuwa wezesha watu waliofika kwenye shughuli hiyo kuiona sehemu hiyo kwa urahisi na pia watu watakao itumia sehemu hiyo waweze kuonekana kwa urahisi. Zipo aina nyingi za stage kutokana na kazi zake lakini jambo la muhimu ni kwamba stage husaidia kumfanya anyeitumia aweze kuwasiliana kwa urahisi na watuwengine waliopo kwenye tukio hilo.
  Back stage..Hii ni sehemu iliyopo nyuma ya jukwaa au sehemu ya maonesho ambayo huzibwa kuweza kuinga hadhira kuona yanayofanyika huko.Mara nyingi sehemu hii hutengwa kwa ajili ya sehemu za kubadilishia nguo wasanii,au kujiremba kabla hawajafika jukwaani, pia ilikuepuka usumbufu wa kumpata mtumbuizaji backstage hutumika kama sehemu ya watumbuizaji kujikusanya tayari kwa kufanya maonesho.
  SAWA CHAPAA>>>?
  Ukisoma kwa makini sana hapo juu vitu vyote hivi vinatumika wakati mmoja tu, kwenye maonesho au mawasiliano yanayohusisha mtumbuizaji(performer) na hadhira(audience)
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2009
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mkuu BURN,nimekusoma vilivyo na swali umelijibu kulingana na jinsi nilivyo kuwa nimeuliza,jambo lilokuwa linanikwaza ni kwamba kuna baadhi ya functions ambazo nime wahi shuhudia utakuta mshereheshaji(mc) anaendesha shughuli hiyo kwa DANCE FLOOR! je anakuwa yuko sawa au ndo kutojua mahala panapo takiwa mc huyo kushereheshea?
   
 4. GP

  GP JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  uko sawa kabisa mkuu, watu wengi wanachanganya sana kama si kukosea
   
Loading...