Dana harakati

Dana harakati

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,685
Tunawataka muwaachie huru mabinti zetu
 
Attachments

  • 1401763184595.jpg
    1401763184595.jpg
    41.3 KB · Views: 334
Ooyooo hawo viangozi wa hiyo inchi wala hawana muda wa kulifatilia hilo jambo na wako bizy na masilahi yao tena ni aibu na tusi la nguwoni kwa kuwatigemia wazungu kuja kuwaokoo na hii inaonisha ni kama mchezo wa kuigeza na vimibaki mabango kila kukicha ya rudi nyumbani na laiti kungekua na jaribio la maasi basi zamani wangekwesha kamatwa tena wote lakini huu ni mradi wa vigogo
 
Kwa lugha yako tu, operation Kimbunga inakuhusu, sepa mapema kabla hujakumbwa.
 
Back
Top Bottom