Damu zao zinadai kisasi

Damu zao zinadai kisasi

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,333
Kaini alimuua nduguye Abel kisha Mungu akamuuliza, "Kaini nduyo yupo wapi ?"
Kaini akamjibu Mungu kwa jeuri kwamba yeye hakupewa kazi ya kumlimda nduguye.
Mungu akamjibu Kaini, "Damu ya nduguyo inanililia mimi ".
Baada ya hapo, Mungu alimlaani Kaini.
Usiombe kulaaniwa na Mungu, ujue umekwisha kabisa.
Fanya yote ktk maisha yako lakini usije kumwaga damu ya mtu asiye na hatia,(kuua).
Kazi ya kutoa roho ya mtu asiye na hatia ni ya Mungu mwenyewe.
Hivi Kumkosoa mtu ambaye hataki kukosolewa, adhabu ya mkosoaji ni kifo?
Ni kwa nini Kama mtu anakukera usimweke selo tu hata miaka minne kuliko kutoa uhai wake?
Hivi Tundu Lissu kukosoa tu ndo alistahili kifo?
Mawazo kuwa mpinzani tu naye alistahili kifo?
Ben Saanane kusema tu Elimu ya mfalme ina walakini naye alistahili kifo?
Kanguye kuwa mpinzani tu naye alistahili kifo?
Azori Gwanda kuwa mwandishi msema kweli naye alistahili kifo?
Hivi mnajua kwamba kuna mataifa yenye roho za mauti? Na aina ya mataifa hayo huwa hayaendelei hata siku moja.
Roho za mauti huwa zinakuja Kama kisasi baada ya Damu za watu wasio na hatia kumwagwa.
Nitawatajia baadhi ya nchi zenye Roho za mauti, na Roho hizo huwa hazitoki hadi taifa lifanye ibaada maalumu za toba ikiambatana na kutoa sadaka mbele ya Mungu ndo Roho za mauti hutoweka.
Baadhi ya mataifa yenye Roho za mauti Duniani.
1.Iraq
2.Libya
3.Syria
4.Congo
5.Sudan (zote)
6.Burundi
7.Yemen
8.South Africa
9.Rwanda
10.Marekani
11.Uganda
12.Iran
13.Kenya
14.Mozambique
15.Tanzania
Hizo ni baadhi ya nchi Duniani, Kila Damu inayomwagwa bila hatia hulia kwa Mungu ikidai kisasi, Kila kisasi huja kulipwa kwa Staili yake.
Mambo ya kuandika ni mengi mno na muda ni mchache.
Damu iliyomwagwa kwa sababu za kisiasa hulipwa kisiasa siasa, na Damu iliyomwagwa mitaani hulipwa kimtaa mtaa.
Tutaonana Kwenye Part -5 ya TISS Bado safari ngumu
 
Naona umeanza kwa Kuhoji, Kutahadharisha, Kuhisi na Kuhukumu Wewe huyo huyo Mtu Mmoja sasa sijui unataka na Sisi wengine tuchangie nini tena katika huu Uzi wako uliokaa Kipropaganda kama si Kianaharakati zaidi Ndugu.
 
Kama hujaelewa mada ni bora upite kimya, propaganda iko wapi?
Roho ya mauti ni propaganda? Unatakiwa kuwa intellectual ili kuelewa uzi wangu
 
Tundu lisu kapigwa risasi na chadema, na alishiriki kwenye hiyo plot, walipanga wafyatue risasi gari lake halafu waisingizie Serikali yetu, mpango ukaback fire mahesabu yakakataa Tundu lisu akawemo, na ndo maana wamemficha dereva kwani anajua mchezo wote.

Kwa kifupi tundu ni ukoo wa Cain, laana inamuandama, na bado!

Haya endeleeni mkanipige ban, lkn UKWELI ndo huo, na utajulikana kwani mmeshaanza kufarakana mmoja wenu ataropoka tu!
 
Ningekuona una maana kama ungekuja na vithibitisho vya kwamba mkono wa Kiongozi fulani ndio umehusika na kutoa roho za hao wahanga, tofouti na hapo sioni utofouti wako na waimba taarabu

JPM yupo na ataendelea kuwepo mpaka pale Mwenyezi Mungu atakapoamua kumpumzisha
 
Kama hujaelewa mada ni bora upite kimya, propaganda iko wapi?
Roho ya mauti ni propaganda? Unatakiwa kuwa intellectual ili kuelewa uzi wangu

Katika hao ' the so called Intellectuals ' na Wewe humo? Nani amekudanganya kuwa Wewe ni miongoni mwao? Hivi ' Intellectual ' huwa anajitaja au Watu ndiyo wanajua kama si Kuona huo Uwezo wake? Sasa kama Wewe ni ' Intellectual ' Mwenzako Mimi ni ' Brainiac ' hasa kama unavyoona hapo chini katika ' Signature ' yangu sawa?
 
Naona umeanza kwa Kuhoji, Kutahadharisha, Kuhisi na Kuhukumu Wewe huyo huyo Mtu Mmoja sasa sijui unataka na Sisi wengine tuchangie nini tena katika huu Uzi wako uliokaa Kipropaganda kama si Kianaharakati zaidi Ndugu.
Dish limeyumba wala usihangaike nae
 
Naunga mkono hoja. Hii kitu inaitwa karma.
Ina uzuri mmoja na ubaya mmoja.
Uzuri wa karma, kila mtu atalipwa kwa mawazo, maneno na matendo yake na malipo hapa hapa duniani.

Ubaya, ni fidia ya karma is not standard, unaweza kutenda ubaya mdogo tuu lakini majanga ya mapigo ya karma yakawa makubwa ajabu.

Because kuna vitu we are not sure who did them, unawezs kukuta hata kupotea kwa Ben Saanane na shambulio kwa Tundu Lissu pia karma payback kwa matendo yao!.

Angalizo, hata kumhisi tuu mtu fulani vibaya mfano kumhisi aliyetuma Lissu ashambuliwe, ni fulani, halafu ikatokea ni ukweli kabisa Tundu Lissu ameshambuliwa na watu wasiojulikana kweli ambao hawajulikani, na sio huyo unayemhisi, then kitendo tuu cha kumhisi ni fulani ni dhambi ila haina karma, kama ilivyo kwa sisi Wakristu, ukimtazama tuu mwanamke mrembo ukamtamani kums.x then unakuwa umeisha tends ile dhambi ila hauna adhabu, ukitenda ndio unaadhibiwa!.

Hivyo kumhisi mtu vibaya ni dhambi ila haina adhabu, ila ukimsema na kumuandika ni kitendo, unastahili adhabu ya karna.

Tuepuke kuwaza mabaya, kusema mabaya, kutenda mabaya.
P
 
Magufuli Kajitahidi Sana Kuitawala Hii Nchi Kidicteta Lakini Hatonyamazisha Sauti Ya Wengi Ambao Hatukubaliani Na Utawala Wa Mabavu Hapana Sitokubali Nafsi Inanisuta Kusaliti Haki, Uhuru Na Upendo Tulionao Watanzania"
"Sauti ya wengi ambao hatukubaliani"!! Huu utafiti ulifanya lini na sampling ilikuwaje?

Kumbuka ni kosa kihoja kujenga hoja kwa kuweka watu kwenye mwanvuli wa mawazo yako bila utafiti!
 
Kaini alimuua nduguye Abel kisha Mungu akamuuliza, "Kaini nduyo yupo wapi ?"
Kaini akamjibu Mungu kwa jeuri kwamba yeye hakupewa kazi ya kumlimda nduguye.
Mungu akamjibu Kaini, "Damu ya nduguyo inanililia mimi ".
Baada ya hapo, Mungu alimlaani Kaini.
Usiombe kulaaniwa na Mungu, ujue umekwisha kabisa.
Fanya yote ktk maisha yako lakini usije kumwaga damu ya mtu asiye na hatia,(kuua).
Kazi ya kutoa roho ya mtu asiye na hatia ni ya Mungu mwenyewe.
Hivi Kumkosoa mtu ambaye hataki kukosolewa, adhabu ya mkosoaji ni kifo?
Ni kwa nini Kama mtu anakukera usimweke selo tu hata miaka minne kuliko kutoa uhai wake?
Hivi Tundu Lissu kukosoa tu ndo alistahili kifo?
Mawazo kuwa mpinzani tu naye alistahili kifo?
Ben Saanane kusema tu Elimu ya mfalme ina walakini naye alistahili kifo?
Kanguye kuwa mpinzani tu naye alistahili kifo?
Azori Gwanda kuwa mwandishi msema kweli naye alistahili kifo?
Hivi mnajua kwamba kuna mataifa yenye roho za mauti? Na aina ya mataifa hayo huwa hayaendelei hata siku moja.
Roho za mauti huwa zinakuja Kama kisasi baada ya Damu za watu wasio na hatia kumwagwa.
Nitawatajia baadhi ya nchi zenye Roho za mauti, na Roho hizo huwa hazitoki hadi taifa lifanye ibaada maalumu za toba ikiambatana na kutoa sadaka mbele ya Mungu ndo Roho za mauti hutoweka.
Baadhi ya mataifa yenye Roho za mauti Duniani.
1.Iraq
2.Libya
3.Syria
4.Congo
5.Sudan (zote)
6.Burundi
7.Yemen
8.South Africa
9.Rwanda
10.Marekani
11.Uganda
12.Iran
13.Kenya
14.Mozambique
15.Tanzania
Hizo ni baadhi ya nchi Duniani, Kila Damu inayomwagwa bila hatia hulia kwa Mungu ikidai kisasi, Kila kisasi huja kulipwa kwa Staili yake.
Mambo ya kuandika ni mengi mno na muda ni mchache.
Damu iliyomwagwa kwa sababu za kisiasa hulipwa kisiasa siasa, na Damu iliyomwagwa mitaani hulipwa kimtaa mtaa.
Tutaonana Kwenye Part -5 ya TISS Bado safari ngumu
Acha waendelee kucharaza viboko wanafunzi .
 
"Sauti ya wengi ambao hatukubaliani"!! Huu utafiti ulifanya lini na sampling ilikuwaje?

Kumbuka ni kosa kihoja kujenga hoja kwa kuweka watu kwenye mwanvuli wa mawazo yako bila utafiti!
Wauaji wataendelea kujitokeza tu mpaka idadi yao itimie , bali imeandikwa kwamba MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI
 
Kama mshahara wa dhambi ni.mauti basi waliokufa wamekufa sababu ya dhambi zao wasingekuwa na dhambi wasingekufa wakiwemo hao mleta mada aliowataja.
 
Mleta mada naona kajipa cheo cha mwenyezi Mungu na mahakama kujua nani damu yake imemwagika kwa haki na nani siyo!!!!

Mada kaiandika kijuaji wakati evidence hana kajaa assumptions tupu na hisia koko za kisiasa tu
 
Tundu lisu kapigwa risasi na chadema, na alishiriki kwenye hiyo plot, walipanga wafyatue risasi gari lake halafu waisingizie Serikali yetu, mpango ukaback fire mahesabu yakakataa Tundu lisu akawemo, na ndo maana wamemficha dereva kwani anajua mchezo wote.

Kwa kifupi tundu ni ukoo wa Cain, laana inamuandama, na bado!

Haya endeleeni mkanipige ban, lkn UKWELI ndo huo, na utajulikana kwani mmeshaanza kufarakana mmoja wenu ataropoka tu!
Umelaaniwa wewe na mabasha wako wote
 
Naunga mkono hoja. Hii kitu inaitwa karma.
Ina uzuri mmoja na ubaya mmoja.
Uzuri wa karma, kila mtu atalipwa kwa mawazo, maneno na matendo yake na malipo hapa hapa duniani.

Ubaya, ni fidia ya karma is not standard, unaweza kutenda ubaya mdogo tuu lakini majanga ya mapigo ya karma yakawa makubwa ajabu.

Because kuna vitu we are not sure who did them, unawezs kukuta hata kupotea kwa Ben Saanane na shambulio kwa Tundu Lissu pia karma payback kwa matendo yao!.

Angalizo, hata kumhisi tuu mtu fulani vibaya mfano kumhisi aliyetuma Lissu ashambuliwe, ni fulani, halafu ikatokea ni ukweli kabisa Tundu Lissu ameshambuliwa na watu wasiojulikana kweli ambao hawajulikani, na sio huyo unayemhisi, then kitendo tuu cha kumhisi ni fulani ni dhambi ila haina karma, kama ilivyo kwa sisi Wakristu, ukimtazama tuu mwanamke mrembo ukamtamani kums.x then unakuwa umeisha tends ile dhambi ila hauna adhabu, ukitenda ndio unaadhibiwa!.

Hivyo kumhisi mtu vibaya ni dhambi ila haina adhabu, ila ukimsema na kumuandika ni kitendo, unastahili adhabu ya karna.

Tuepuke kuwaza mabaya, kusema mabaya, kutenda mabaya.
P
Ushaanza story zako !
 
Tundu lisu kapigwa risasi na chadema, na alishiriki kwenye hiyo plot, walipanga wafyatue risasi gari lake halafu waisingizie Serikali yetu, mpango ukaback fire mahesabu yakakataa Tundu lisu akawemo, na ndo maana wamemficha dereva kwani anajua mchezo wote.

Kwa kifupi tundu ni ukoo wa Cain, laana inamuandama, na bado!

Haya endeleeni mkanipige ban, lkn UKWELI ndo huo, na utajulikana kwani mmeshaanza kufarakana mmoja wenu ataropoka tu!
Na serekali makini na imara ya JPM ikabariki tukio hilo
 
Back
Top Bottom