Damu zao zinadai kisasi

Damu zao zinadai kisasi

Mimi sina uwezo wa kukamata yoyote, ila kama nigekuwa nao sasa hivi hata huyo Dereva mliyemficha angesharudishwa hapa nyumbani kwa nguvu kama siyo hiyari.
Yani wewe baba yako bora angemwaga nje au mama yako bora angefanya abortion
 
Naunga mkono hoja. Hii kitu inaitwa karma.
Ina uzuri mmoja na ubaya mmoja.
Uzuri wa karma, kila mtu atalipwa kwa mawazo, maneno na matendo yake na malipo hapa hapa duniani.

Ubaya, ni fidia ya karma is not standard, unaweza kutenda ubaya mdogo tuu lakini majanga ya mapigo ya karma yakawa makubwa ajabu.

Because kuna vitu we are not sure who did them, unawezs kukuta hata kupotea kwa Ben Saanane na shambulio kwa Tundu Lissu pia karma payback kwa matendo yao!.

Angalizo, hata kumhisi tuu mtu fulani vibaya mfano kumhisi aliyetuma Lissu ashambuliwe, ni fulani, halafu ikatokea ni ukweli kabisa Tundu Lissu ameshambuliwa na watu wasiojulikana kweli ambao hawajulikani, na sio huyo unayemhisi, then kitendo tuu cha kumhisi ni fulani ni dhambi ila haina karma, kama ilivyo kwa sisi Wakristu, ukimtazama tuu mwanamke mrembo ukamtamani kums.x then unakuwa umeisha tends ile dhambi ila hauna adhabu, ukitenda ndio unaadhibiwa!.

Hivyo kumhisi mtu vibaya ni dhambi ila haina adhabu, ila ukimsema na kumuandika ni kitendo, unastahili adhabu ya karna.

Tuepuke kuwaza mabaya, kusema mabaya, kutenda mabaya.
P

Pascal; hakuna dhambi isiyokuwa na adhabu, iwe duniani hata akhera!!! Kumuua mtu sio lazima wewe ufanye kwa mikono yako, ukiwa madarakani ukatumia vyombo vyako vya DOLA vikatimiza amri yako ya kuua watu, wewe uliyetoa hiyo amri damu itakuwa mikononi mwako!!!
 
Naunga mkono hoja. Hii kitu inaitwa karma.
Ina uzuri mmoja na ubaya mmoja.
Uzuri wa karma, kila mtu atalipwa kwa mawazo, maneno na matendo yake na malipo hapa hapa duniani.

Ubaya, ni fidia ya karma is not standard, unaweza kutenda ubaya mdogo tuu lakini majanga ya mapigo ya karma yakawa makubwa ajabu.

Because kuna vitu we are not sure who did them, unawezs kukuta hata kupotea kwa Ben Saanane na shambulio kwa Tundu Lissu pia karma payback kwa matendo yao!.

Angalizo, hata kumhisi tuu mtu fulani vibaya mfano kumhisi aliyetuma Lissu ashambuliwe, ni fulani, halafu ikatokea ni ukweli kabisa Tundu Lissu ameshambuliwa na watu wasiojulikana kweli ambao hawajulikani, na sio huyo unayemhisi, then kitendo tuu cha kumhisi ni fulani ni dhambi ila haina karma, kama ilivyo kwa sisi Wakristu, ukimtazama tuu mwanamke mrembo ukamtamani kums.x then unakuwa umeisha tends ile dhambi ila hauna adhabu, ukitenda ndio unaadhibiwa!.

Hivyo kumhisi mtu vibaya ni dhambi ila haina adhabu, ila ukimsema na kumuandika ni kitendo, unastahili adhabu ya karna.

Tuepuke kuwaza mabaya, kusema mabaya, kutenda mabaya.
P
Umeanza vizuri, ila ukaishia aliye kuita njaa kutopatwa na hivyo karma
 
Sijawahi kuwa na Baba ' Taahira ' kama Wewe tafadhali.
Taahira kwako ni mkosoaji wa serikali haramu ya CCM ila praise team kwako ndo mwenye akili, hata hivyo nilipohama CCM mama yako alinipa talaka, ngoja nirudi CCM ili mama yako anipokee niwe Baba yako bora,
 
Hivi ' Matahaira ' nao kama Wewe huwa ni Mababa wa kweli? Wahi Kitanda chako pale Mirembe Mkoani Dodoma ukatibiwe.
 
Nina ukakasi kidogo pale uliposema ni kazi ya mungu kutoa roho isiyo na hatia,kwahiyo wenye hatia roho zao zinatwaliwa na nani
 
Da nimejisikia aibu sana mpuuzi mmoja kusema mahakama ndio inatakiwa waprove suala la sakamstenshio evidence kwenye ishu ya lissu,huyu mpuuzi alivoandika utadhani hiyo mahakama inatoka mbinguni,hata mtoto wa la pili anajua mahakama ipo mfukoni mwa jiwe we jitu zima vinyweleo mpaka kalioni hulitambui hilo embu amka na uache upopoma
 
Hivi ' Matahaira ' nao kama Wewe huwa ni Mababa wa kweli? Wahi Kitanda chako pale Mirembe Mkoani Dodoma ukatibiwe.
I can't figure out with such a primitive person like you, kitendo cha wewe kuwa CCM tu yatosha kuwa naongea na chizi, nani mwenye akili timamu yuko CCM?
 
I can't figure out with such a primitive person like you, kitendo cha wewe kuwa CCM tu yatosha kuwa naongea na chizi, nani mwenye akili timamu yuko CCM?

Kama CCM kuna Machizi nadhani inajulikana kabisa kuwa huko Upinzani uliko Wewe ndiyo kuna Matahaira Waandamizi kabisa wakiongozwa na Wewe Rais kama siyo CEO wao wa Utahaira.
 
Magufuli Kajitahidi Sana Kuitawala Hii Nchi Kidicteta Lakini Hatonyamazisha Sauti Ya Wengi Ambao Hatukubaliani Na Utawala Wa Mabavu Hapana Sitokubali Nafsi Inanisuta Kusaliti Haki, Uhuru Na Upendo Tulionao Watanzania"
Utateseka sana, si tunaomuelewa tunapiga kazi tu.
 
Tanzania yangu ni ya viwanda mpaka sasa chali katujazia machinga hadi kwenye barabara
 
Mabarabani sasa hivi hata watembea kwa miguu tunakosa pa kupita,na uchumi utashuka zaidi sababu waliopewa nafasi ya kufanya biashara kwa uhuru hawalipi kodi wala kuchangia maendeleo ya nchi@MACHINGA+BODABODA
Tanzania yangu ni ya viwanda mpaka sasa chali katujazia machinga hadi kwenye barabara
 
Hivi ni kweli Mungu hakujua Kaini kamuua ndugu yake, mpaka amuulize yuko wapi, ila kajua kwa damu kumlilia ??????
 
Tundu lisu kapigwa risasi na chadema, na alishiriki kwenye hiyo plot, walipanga wafyatue risasi gari lake halafu waisingizie Serikali yetu, mpango ukaback fire mahesabu yakakataa Tundu lisu akawemo, na ndo maana wamemficha dereva kwani anajua mchezo wote.

Kwa kifupi tundu ni ukoo wa Cain, laana inamuandama, na bado!

Haya endeleeni mkanipige ban, lkn UKWELI ndo huo, na utajulikana kwani mmeshaanza kufarakana mmoja wenu ataropoka tu!
Mkuu huenda hii ndiyo sababu serikali ya awamu ya tano imeshindwa kufanya uchunguzi? Kweli cdm kiboko yaani inaizidi serikali maarifa?
 
Hivi ni kweli Mungu hakujua Kaini kamuua ndugu yake, mpaka amuulize yuko wapi, ila kajua kwa damu kumlilia ??????
Swali la ajabu kabisa hili!!! Mungu alipoita Adam, Adam uko wapi? Kwa uelewa wako unadhani Mungu alikuwa haoni Adam alipo? Haya ni maswali yanayoulizwa na watoto wa Sunday School. Labda unatania!
 
Kaini alimuua nduguye Abel kisha Mungu akamuuliza, "Kaini nduyo yupo wapi ?"
Kaini akamjibu Mungu kwa jeuri kwamba yeye hakupewa kazi ya kumlimda nduguye.
Mungu akamjibu Kaini, "Damu ya nduguyo inanililia mimi ".
Baada ya hapo, Mungu alimlaani Kaini.
Usiombe kulaaniwa na Mungu, ujue umekwisha kabisa.
Fanya yote ktk maisha yako lakini usije kumwaga damu ya mtu asiye na hatia,(kuua).
Kazi ya kutoa roho ya mtu asiye na hatia ni ya Mungu mwenyewe.
Hivi Kumkosoa mtu ambaye hataki kukosolewa, adhabu ya mkosoaji ni kifo?
Ni kwa nini Kama mtu anakukera usimweke selo tu hata miaka minne kuliko kutoa uhai wake?
Hivi Tundu Lissu kukosoa tu ndo alistahili kifo?
Mawazo kuwa mpinzani tu naye alistahili kifo?
Ben Saanane kusema tu Elimu ya mfalme ina walakini naye alistahili kifo?
Kanguye kuwa mpinzani tu naye alistahili kifo?
Azori Gwanda kuwa mwandishi msema kweli naye alistahili kifo?
Hivi mnajua kwamba kuna mataifa yenye roho za mauti? Na aina ya mataifa hayo huwa hayaendelei hata siku moja.
Roho za mauti huwa zinakuja Kama kisasi baada ya Damu za watu wasio na hatia kumwagwa.
Nitawatajia baadhi ya nchi zenye Roho za mauti, na Roho hizo huwa hazitoki hadi taifa lifanye ibaada maalumu za toba ikiambatana na kutoa sadaka mbele ya Mungu ndo Roho za mauti hutoweka.
Baadhi ya mataifa yenye Roho za mauti Duniani.
1.Iraq
2.Libya
3.Syria
4.Congo
5.Sudan (zote)
6.Burundi
7.Yemen
8.South Africa
9.Rwanda
10.Marekani
11.Uganda
12.Iran
13.Kenya
14.Mozambique
15.Tanzania
Hizo ni baadhi ya nchi Duniani, Kila Damu inayomwagwa bila hatia hulia kwa Mungu ikidai kisasi, Kila kisasi huja kulipwa kwa Staili yake.
Mambo ya kuandika ni mengi mno na muda ni mchache.
Damu iliyomwagwa kwa sababu za kisiasa hulipwa kisiasa siasa, na Damu iliyomwagwa mitaani hulipwa kimtaa mtaa.
Tutaonana Kwenye Part -5 ya TISS Bado safari ngumu
Ccm hawawezi kukuelewa!
 
Back
Top Bottom