Damu yangu kwa mke wa mtu

Damu yangu kwa mke wa mtu

Mmh mkuu pmoja na kujua ni mke wa mtu bado unajipeleka tu??hta kujiongeza huwez jmn may be kunaunachokitafuta kwa mumewe nadhan utakipata soon!!!kaa mbali naye fanya km humjui aiseee ucje harbu maisha ya mwnamke akishaachika na ww shida yko nn mtt na c muoaji mwache pse!!!!!!!!!
 
Nimekupata,
 
Hauna haki yoyote juu ya huyo mtoto mkuu!!..ni mtoto wa ndani ya hiyo ndoa
 
Salamu,
Natumaini hamjambo,
Nlikutana mara 1 tu na huyu bibie bila kutambua ni mke wa mtu,
Baada ya kutambua hilo kuwa ni mke wa pili wa jamaa, (kwa ndoa ya kiislamu
Nlikaa pembeni ingawa nlikuwa nimechelew,
Mimba ilikuwa tyr, ingawa mwanzon alinijuza khs mabadiliko ambayo hakuw na uhakika km ni mm au mmewe,
Siku zilienda tukiwa hatuna mawasiliano,
Alipojifungua alinijuza nikampongeza kwa kumtumia zawadi ( hela) hatukwendelea kuwasiliana,
Baadae mtt ana miezi 5, kaja kunambia mtt anamsumbua sana kwa kulia usiku kucha,
Wamehangaika sana bila mafanikio,
Hivyo akaniomba jina maake alinambia anahisi mimi ndio baba wa mtoto,
Nikampaa jina, na tangia hapo keshatulia,
Yaan ni amani tele,
Pia nlienda kumuona mtt na kutoa zawadi,
Yaan ni mm mwenyewe.
Hata picha za mtoto, jamaa zangu
Walishangaa kutowaambia khs kupata mtoto.
Naomba mnisaidie kama nna haki ya kumpata huyo mtoto na ninaweza kufanyaje?
Ahsante kwa ushirikiano.

wewe jamaa kiboko. yaani ile kuanza tu ukaingia uwanjani pekupeku!
 
Mkuu ulifikia wapi?,

Kwanza mwanao hajambo?
 
Usimchukue huyo mtoto! Mwache alelewe tu huko.
Endelea kumuhudumia mtoto kwa siri na akikua mueke karibu kama rafiki tu, akuzoee.
 
Hapo ndo huwa nasema adui wa mwanaume ni mwanaume mwenyewe ila tuu wanaume huwa hawasutani kama wanawake.

Hivi wanaume hawajiulizigi ni manii kiasi gani wameacha kwenye via vya uzazi vya wanawake na manii ngapi zimetunga mimba bila wao kujua na wanawake hao hawakuwataarifu wanaume husika kwa kukosa mawasiliano au kujua ni yupi baba wa mtoto.

Poleni sana kwa kusubiri kujua kama mwana ni wako au si wako.
Yaani mi nasema wanaume wengi wana watoto bila wao kujua. Juzi kati hapo kuna ndugu yangu kaletewa mtoto wa miaka 6. Yaani aliendaga mkoani huko, katika mechi za kirafiki kumbe alipanda mbegu na hakujua akarudi zake Dar. Huyo mdada maisha yalivyomshinda ndo akaamua kumtafuta baba wa mtoto... Ata sielewi alimpataje ila ndo ivo. Wameshindwa ata kumkataa mtoto, na hamna haja ya DNA sababu mtoto ni copy ya baba kabisaaa... Wala huulizi.
 
Back
Top Bottom