Damu ya mtu hunuka

Asante nimepata tofauti ya serial killer na spree killer
 

Asante nimepata tofauti ya serial killer na spree killer
 
Shukrani mkuu...
Hasa akiua hakamatwi na kufungwa au inakuaje mpaka inajirudia hiyo interval
 
Shukrani mkuu...
Hasa akiua hakamatwi na kufungwa au inakuaje mpaka inajirudia hiyo interval
Serial killers wengi hua wanaonesha dalili za kua walaghai, na wenye uwezo wa kumanipulate mazingira na hata watu pia serial killers ni watu ambao tunao majumbani ni wake, mama, wame na baba zetu hivyo hadi kujulikana hua inakua ngumu mfano John Wayne Gacy.

Ukiachilia hivyo kuna wengine hua wanaua huku wanahama eneo kwahiyo hadi uje kukusanya clues za kumkamata inakua ngumu.
 
Tuna ibilisi ndani yetu, ibilisi mwenye kutupa fikra hasi za kufanya mambo mabaya hasa kwa adui zetu na wale wanaotukera na kutudhihaki
Ikatae hii roho! Ikemee! Ukiipa tu nafasi utaingia kwenye safari ambayo mwisho wake daima ni mbaya ukianza na mmoja utatamani uendelee na kuendelea na kuendelea ni aina fulani ya kiu na hamu ya kushangaza mno
 
utofauti wa mnyama na binadamu ni kwamba, binadamu ni roho, wakati mnyama sio roho, ni kitu tu, ndio maana ya kufanana na Mungu kwasababu Mungu ni roho hivyo anaoperate kiroho so is satan. mwanadamu hata akifa kimwili, huu mwili ni udongo tu, kuna roho huwa haifi na hiyo ndiyo inaenda kunakotakiwa kwenda. hata wanaofanya uchawi, huwa wanaoperate kiroho, wanaoua kiroho huwa wanaua kiroho, kuna ulimwengu wa roho ambao ni mwanadamu, mashetani na Mungu ndio huwa wanaweza kuwepo huko. wanyama hawapo huko ndio maana inasemekana Mungu alituumba kwa mfano wake, haimaanishi tuna nguvu au tunafanana sura hapana, tunafanana naye kwasababu sisi pia ni roho kama alivyo yeye.
 
Kuna majibu ya maswali mengi hapa hasa kwa wale wanaotatizwa na lile neno la. ...na tuumbe mtu kwa mfano wetu....!
 
Yule DOGO kashatoka jela tangu 2012 kitu kama coz alipelekwa milembe kupimwa hakili akaonekana hayuko sawa nilimuona wakati nipo kule jela ,:n,b usiulize jela nilikuwa nafanya nn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…