Damu tunachangia bure, kwanini wagonjwa wauziwe?

Damu tunachangia bure, kwanini wagonjwa wauziwe?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Ninapokuwa nachangia damu huwa nawaza kuwa huenda kuna mkulima mwenzangu ataumwa na atahitaji kuongezewa damu, lakini nimekuja kugundua kuwa hizo damu wanauziwa wagonjwa huko mahospitalini, tena ni wale wenye pesa zao.

Unalizungumziaje hili?
 
Ukusanyaji damu ni shughuli yenye gharama. Serikali inalipia gharama hizi ili wahitaji wapewe bure.....
 
Sasa hapa ndo tujitahidi kuitoa hii serikali madarakani ili hii tabia IKOME mana hii sio fair kabisaa na haikubaliki
 
Hi ni sawa na wale Wabangladesh wanaokubali kuondolewa figo moja kwa kupewa pesa mbuzi ya mchele, kisha figo hizo hizo wanaenda uziwa watu wengine bei ya juu sana.

Kwa kweli sio poa hata kidogo
 
Hi ni sawa na wale Wabangladesh wanaokubali kuondolewa figo moja kwa kupewa pesa mbuzi ya mchele, kisha figo hizo hizo wanaenda uziwa watu wengine bei ya juu sana.

Kwa kweli sio poa hata kidogo

Mkuu Story yako inasikitisha sana kuhusu hao wabangladesh!!😢😦
 
Damu katika hospitali za serikali in bure.kwa private hospital pia in bure lakini waweza chajiwa vifaa vitakavyotumika......cha msingi jua Damu in bure
 
Damu katika hospitali za serikali in bure.kwa private hospital pia in bure lakini waweza chajiwa vifaa vitakavyotumika......cha msingi jua Damu in bure

Hujawahi kukutwa na hali halisi.

Utajuta kuwafahamu.
 
Damu katika hospitali za serikali in bure.kwa private hospital pia in bure lakini waweza chajiwa vifaa vitakavyotumika......cha msingi jua Damu in bure

Sio kweli kabisa hii, bila hela hamna damu
 
Niliwahi kutoa damu, mwezi wa sita 2015. Walikuja postabank, nikapewa kadi na namba ya simu 0715339282. Kwa ajili ya kufuatilia wa kadi maalum ya uchangiaji, nikipiga hiyo namba wala haipatikani , ni hovyo kabisa .
 
Mkuu Story yako inasikitisha sana kuhusu hao wabangladesh!!
Kwa kweli inasikitisha mno.

Hebu fikiri anaekubali kuondolewa figo analipwa kiasi cha pesa Dola za kimarekani 3000 na atakaebahatika sana kima cha juu sana 10, 000.

Kisha figo hiyo hiyo inaenda uzwa kwa Dola za kimarekani kiwango cha chini ni kuanzia 200,000. Kwahiyo inauzwa kuanzia Dola laki mbili na kuendelea.

Sasa hebu niambie, huu si unyonyaji wa hali ya juu :angry:
 
Damu katika hospitali za serikali in bure.kwa private hospital pia in bure lakini waweza chajiwa vifaa vitakavyotumika......cha msingi jua Damu in bure

tusiwe tunatetea ata mamb ambyo tunajua kwmba hii kitu niuongo.wiki mbli zilizopita nlipeleka mgnjw wng muhimbli kitngo cha moi kw operation kupimwa akakutwa na dam pungufu niliambiwa nilipie laki mbli kw ajili ya dam nilipokataaa nikaambiwa b.s. kakae n mgnjw wk mpk dam itoshelezee ilinilazim kulipa kw roho upnde ili noweze kupata tiba.
 
Aiseee inauma uchangie damu halafu wengine wanaiuza kwa bei mbaya hivyo nimeamua kutoa damu tu pale inapohitajika na mgonjwa kwa wakati huo
 
Damu katika hospitali za serikali in bure.kwa private hospital pia in bure lakini waweza chajiwa vifaa vitakavyotumika......cha msingi jua Damu in bure

hivyo nisifualitie ufisadi nyuma yake sio??
 
Sera ya serikali ni kuwa huduma ya damu ni bure kwa wahitaji. Serikali inagharamia shughuli ya ukusanyaji kutoka kwa watu wanaochangia, kuisafirisha, kuifanyia vipimo vya magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya damu na kupima kundi la damu.
Shughuli zote hizi ni gharama na serikali inagharimia. Tatizo linakuja hospitali ambako kuna watumishi wachache wasiokuwa waaminifu wanaotumia advantage ya upungufu wa damu kupiga deal za kuuza damu. Kimsingi hiyo ni rushwa na lazima tuungane na kuitafutia solution. Naelewa kuna changamoto katika hili hasa unapokuwa unapigania uhai wa ndugu yako.
 
tusiwe tunatetea ata mamb ambyo tunajua kwmba hii kitu niuongo.wiki mbli zilizopita nlipeleka mgnjw wng muhimbli kitngo cha moi kw operation kupimwa akakutwa na dam pungufu niliambiwa nilipie laki mbli kw ajili ya dam nilipokataaa nikaambiwa b.s. kakae n mgnjw wk mpk dam itoshelezee ilinilazim kulipa kw roho upnde ili noweze kupata tiba.

tatizo hamjanielewa....Damu ni Burr.kama ulilipa ulipewa risiti ikionesha malipo kwaajili ya Damu??watumishi wachache wasio waaminifu ndo wanachaji na wakishikwa ni kesi ambayo inaweza kuwafukuzisha kazi.kama nilivyosema mwanzo,private hospital huchaji kwaajili ya vifaa vinavyotumika na si damu.kuna rare circumstances ambapo baadhi ya magrupu ya Damu ni hadimu kuptikana so wengine wanakuunganisha na MTU mwenye grupu Hilo muelewane lakini so kulipia Damu hospitali
 
Sio kweli kabisa hii, bila hela hamna damu

ninapofanya Mimi kazi Damu tunatoa bure kabisa unless tuwe hamna blood bank of which tutakurefer to another hospital...ukiombwa kulipia Damu toa taarifa kwa uongozi...
 
Ninapokuwa nachangia damu huwa nawaza kuwa huenda kuna mkulima mwenzangu ataumwa na atahitaji kuongezewa damu, lakini nimekuja kugundua kuwa hizo damu wanauziwa wagonjwa huko mahospitalini, tena ni wale wenye pesa zao.

Unalizungumziaje hili?

Kaka umenigusa
Niliuguliwa Na mke Wang akaitaj dam nilitumia laki mbil kupata dam chupa mbil Na mm ni mwanachama nishachangia dam chupa kama tano iliniuma sanaaaaa ila sikuwa Na jins ilibid nifanye kuokoa mke wang
 
Back
Top Bottom