Damu tunachangia bure, kwanini wagonjwa wauziwe?

Damu tunachangia bure, kwanini wagonjwa wauziwe?

Shirika la DAMU SALAMA linachevhemea sasaivi kama sio kufa kabisa baada ya kukosa misaada kutoka watu wa marekani kwasababu ya ufujaji wa hela hizo za misaada.

Hivyo huduma ya damu imekua hovyo kweli. Hakuna mpango mkakati mzuri wa kuhamasisha watu kuchangia damu.

Damu ni tatizo kubwa sana kwa sasa. Uhaba upo sana! Hasa kwa "grupu o"

Swala la kuuza damu pia lipo. Ila sio kwa watoto wala wajawazito na wanaojifungua. Hawa wanapata kipaumbele. Wakihitaji tu mara moja wanapewa.
 
Back
Top Bottom