Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,377
Haka kajamaa Nasikia ni kashirikina kinoma, huenda atampata tu Wolper na hizo dawa zake za giza.
Kumbe story ya kunuka papuchi haijaanza Leo?Si ndo apo, nasikia jamaa kachoka mbaya hata viwanja vyake sasa ivi vya ajabu ajabu sio kama zamani unamkuta viwanja matata akitanua na warembo, sasa ivi ataishia tu kumsikia wolper kwenye magazeti, maana sidhan kama wolper ataweza mrudia jamaa na alivyochoka vile dah, halafu si alisemaga wolper ananuka papuchi sasa imekuwaje karudi tena, huyu jamaa atakuwa anavuta bhang na yeye