Muota Ndoto
Member
- Dec 4, 2007
- 89
- 128
Kwa wale wenye kupenda hotuba ndefuu kama dalili za utendaji bora watakuwa wamefadhaishwa sana na Raisi wa Nigeria Muhamad Buhari. Jenerali Buhari ametoa hotuba yake ya kwanza tangu kuchaguliwa iliyodumu kwa dakika 12 tu lakini yenye maudhui ya kisiasa na kitendaji zaidi.
Source: BBC Swahili
Source: BBC Swahili