Dalili za uchungu ni zipi?

darling-tone

Member
Apr 24, 2013
60
0
Wakuu heshima kwenu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninawaomba wenye uzoefu wa mambo ya uzazi wanisaidie tips kuhusu dalili za uchungu wa kujifungua.

Wanadai kila Mwanamke Ana dalili zake ila nadhani kutakuwa na vitu flani vya kufanana.

Naomba msaada wadau wangu.
 
kigori wa kilwa

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
483
225
Kwa kweli swala la uchungu kila mwanamke Ana dalili Zake wengine kiuno kinauma, wengine mgongo ila wengine kichwa yani auelezeki mpenzi
 
kigori wa kilwa

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
483
225
Wakuu heshima kwenu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninawaomba wenye uzoefu was mambo ya uzazi wanisaidie tips kihusu dalili za uchungu wa kujifungua.
Wanadai kila Mwanamke Ana dalili zake ila nadhani kutakuwa na vitu flani vya kufanana. Naomba msaada wadau wangu.

Mie binafsi niliskia tumbo Kama la kuendesha vile kuamka kitandani chupa ikapasuka hapo hapo fasta hosp
 
darling-tone

Member
Apr 24, 2013
60
0
Mie binafsi niliskia tumbo Kama la kuendesha vile kuamka kitandani chupa ikapasuka hapo hapo fasta hosp
Na chupa kupasuka Ina maana ni kitendo cha kutoa maji mengi??
Dalili za kuharisha ninazo, mgongo kuuma na kuacha pia, kichwa pia kwa mbali sasa sijui ndio wenyewe
 
kigori wa kilwa

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
483
225
Kwani walikwambia tarehe hizi ndio za mategemeo ? Maana unaweza kuzudisha au kupunguza tarehe za makadilio, Pia Maji sio mengi sana ukiona dalili zozote hizi ww nenda hosp maana uwezi jua
 
kigori wa kilwa

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
483
225
Na chupa kupasuka Ina maana ni kitendo cha kutoa maji mengi??
Dalili za kuharisha ninazo, mgongo kuuma na kuacha pia, kichwa pia kwa mbali sasa sijui ndio wenyewe

Kama tarehe ndio hizi au zinakaribia ndugu yangu nenda hosp maana sio lazima uchugu uwe Mkali wengine mungu anawasaidia unakuwa wa kawaida
 
darling-tone

Member
Apr 24, 2013
60
0
Yanachuluzika Kama mkojo ila mazito kidogo, ( hii nakuadithia kma mie ilivyonitokea) nilivyoona ivyo na clinic walishaniambia nikapelekwa hosp fasta
Asante mpnz....so ni mchuruziko ambao unajitokea wenyewe... He he naomba Mungu usinitokee nikiwa nimelala as sitajua
 
Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
4,503
2,000
Mungu akufikishe salama in sha Allah.

Mi nna wtt watatu, wa kwanza nlikua nimelala mzima bukheri wa afya bila maumivu yoyote. Yapata saa 6 nkaanza kujiskia kunyukiliwa tumbo na kiuno.
Ikawa ndo ivo ivo, uchungu unakuja unapoa, unakuja unapoa. Nlipofika hospital ukaanza kuchanganya ndio mamoja hadi kujifungua. Chupa nilivunjwa, na chupa ikipasuka unakua unatoka kama marenda mazitoo.

Wa pili nlianza kuumwa tumbo tangia asubuhi, linakata then linaachia kama lisaa lizima. Linakata tena linaachia for another one or more than one hours. Yani hadi usiku ndo ivoivo. Kiasi saa 5 usiku ndo ulipochanganya hadi kupelekwa hospital na kujifungua.

Wa 3 nimechezea kisu ( Mungu akuepushie) ni bora uzae normal.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,292
2,000
Wakuu heshima kwenu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninawaomba wenye uzoefu was mambo ya uzazi wanisaidie tips kihusu dalili za uchungu wa kujifungua.
Wanadai kila Mwanamke Ana dalili zake ila nadhani kutakuwa na vitu flani vya kufanana. Naomba msaada wadau wangu.

Ukishikwa na uchungu utaujuwa tu haina haja ya kuambiwa.
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,350
2,000
Asante mpnz....so ni mchuruziko ambao unajitokea wenyewe... He he naomba Mungu usinitokee nikiwa nimelala as sitajua

utajua that goes with maumiv coz baby nyumba yake ndo imebomoko automatical anatafuta pa kutokea.and also that goes with maumiv kidogokidogo kila anavyozid kusogelej mlango ndo maumiv yanaongezeka !
 
si mziki wa kipolepole! be strong woman! ila ukikabidhiwa katoto kako unasahao papo hapo
 
Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,381
2,000
utajua that goes with maumiv coz baby nyumba yake ndo imebomoko automatical anatafuta pa kutokea.and also that goes with maumiv kidogokidogo kila anavyozid kusogelej mlango ndo maumiv yanaongezeka !
si mziki wa kipolepole! be strong woman! ila ukikabidhiwa katoto kako unasahao papo hapo
Duuuuuh
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom