Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,017
Aiseee uanamke kazi kwelikweli,nikiwaza kuhusu labor najikuta sina amani na siku hazigandiUtashangaa sana kuzaa mtoto si kitu cha lelemama utamu wa kukuingiza ni tofauti NA uchungu wa kumtoa