Dalili za simu feki

Goodluck TZ

JF-Expert Member
Oct 24, 2015
1,448
661
1: Ukikaa karibu na jiko-charge connected
2: ukipia karibu na nguzo za umeme-power bank connected
3: ukipishana na mchina-new device as connected
kama una yako ongeza alafu bonyeza==> mchika.mywapblog.com
 
Ukiiweka charge basda ya dakika 10 inaandika full charged, hata kama ilikuwa battery empty.
 
Kila anae kupigia simu anakwambia nimekuta missed call yako wakati wewe hukupiga na hata kwenye dial records hamna kitu
 
ukianza kuweka vocha hivi *104* inaandika please wait masaa sita hadi uchomoe betri
 
Mchina original.
YNWA
 

Attachments

  • 1463706383733.jpg
    1463706383733.jpg
    53.9 KB · Views: 46
Back
Top Bottom