fierceman
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 553
- 758
ukimuelezea tatizo lako hawezi shughulikia kama ilivyo mwanzo
mawasiliano kupungua na wakati hayuko busy wala eneo lenye usumbufu wa network...maana kuna Mwingine hupunguza mawasiliano si kwa kutaka ila mazingira yanambana
kupunguza shauku ya kuonana kama ilivyo mwanzo kama mnaishi eneo moja
kupunguza molali au tabasamu pindi tu mkutanapo