Dalili za mwanaume aliemchoka mpenzi wake

Dalili za mwanaume aliemchoka mpenzi wake

Utaona udambwidambwi umepungua...ukiona mpenzi wako hakutafuti mpk ww umtafute ujue ridandasi imekupitia hata convo yenu inakuwa very basic salamu halafu hamna cha zaidi.

Wakat hali ya kawaida unaweza hata kuchat na mpenz wako cku nzima mkazungumzia kila kitu bila hata kuwa bored
 
Back
Top Bottom