Dalili za mwanaume aliemchoka mpenzi wake

Dalili za mwanaume aliemchoka mpenzi wake

Hana attention tena kwako, unampigia Simu mara kadhaa hapokei then unapita muda wala hakutafuti,ukimtafuta anakwambia sababu kibao......
 
Habari zenu wana jf. Naomba kujua ni jinsi gani utamtambua mwanaume aliemchoka mpenzi wake, au mapenzi kuisha / kupungua
Ukiona hakutumii tena hela kama zamani ujue umeshaliwa yamebaki manyoya tu .
 
Utaona udambwidambwi umepungua...ukiona mpenzi wako hakutafuti mpk ww umtafute ujue ridandasi imekupitia hata convo yenu inakuwa very basic salamu halafu hamna cha zaidi.

Wakat hali ya kawaida unaweza hata kuchat na mpenz wako cku nzima mkazungumzia kila kitu bila hata kuwa bored
Hahahah
 
Hebu nifundishe pullnyeto ya nzi mkuu. Lakini siwezi pata kipindupindu cha huku chini kweli? [emoji13]
kamata nzi kama watano ivi, waweke ndani ya kimfuko(kama kile cha icecream) then kwenye mdomo wa mfumo funga kwenye m b o o , kaza na kamba ili kisichomoke(usikaze sana), then waache nzi warukeruke umo ndani

By:
Village Mamber
Chaputa
 
Mimi nikiwa na mwanamke nampenda huwa akiniudhi nakasirika sana na kumpa mawaidha mara kwa mara, ila nikiwa nimemchoka yaani ata afanye kitu gani sijishughulishi nae, simpigii simu, simtafuti wala sina habari nae, nasonga tu kivyangu. Akipata akili huko mbele ya safari namwaga au nikikaa nae nakaa nake ili nimwage baadae. Sipendi ujinga kabisa.
 
Mara nyingi kwa sisi wanaume kama unampenda mwanamke akikukosea lazima ukasirike sana na utamsihi abadilike ila kama humpendi hata akosee vipi huwezi kumaindi unamuacha tu atajijua mwnywe
 
Mi nikimchoka mtu huwa naomba acess ya prohibited area[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Mkuu mimi niliwahi apply hii strategy shangaa nikapewa go on, usiiendekeze itakuponza
 
Back
Top Bottom