Dalili za mwanaume aliemchoka mpenzi wake

Tabia mbaya anazoficha mwanamke mwanzoni Mwa mahusiano ikifika kipindi flani ataziendeleza na hapo ndo mwanaume humchoka mwanamke....mfano kuchat na msululu wa wanaume wengine, mdomo mwingi, kukuza mistakes ndogo n.k
Ndo mana kuna kurekebishana
 
Kupunguza mawasiliano Tu... Hakuna kipimo kingne zaidi ya hichoo! Ukimchoka mtu yani bora uzime simu kuliko kumtafuta au kujibu msg zakee...hata ukiona msg zake unakasirika balaa maishaa bhana akati mwanzoni ulikuwa hulali asipo kutxt...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wakatili sanaa sometimes...![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]mtoto wa watu anateseka lakini wewe unajikausha tuu ka huoni...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari zenu wana jf. Naomba kujua ni jinsi gani utamtambua mwanaume aliemchoka mpenzi wake, au mapenzi kuisha / kupungua
Yaani mimi sijui nikoje, yaani bora nikuchoke na uwe mwembamba, lakini ukiwa mnene nakuwa nakuona kama kiboko(rhino),
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukimchoka mtu lazima uone kasoro zakee kibaoo...!! kama miguu mibayaa...mara sura sijuii...
Yaani mimi sijui nikoje, yaani bora nikuchoke na uwe mwembamba, lakini ukiwa mnene nakuwa nakuona kama kiboko(rhino),
 
ukiona tu anapumua kwa kutumia pua au anatembea kwa mguu jua tayari
 
Back
Top Bottom