Hebu tufanye jaribio mpendwaCha muhimu uhai. And bora anaekuua kuliko anaekutesa aisee
Unatumia popcorn?Wacha nivute kiti kabisa nikae na juice bariiiiid nipate ujuzi, isije ikawa na mie Nishachokwa halafu sijui..!![emoji23]
Umeongea kwa hisia sana bimdashiAnaweza kukuambia yuko busy kumbe anakusanya nzi akawapigie punyeto...
Hahah sababu yangu chief au sababu ya nzi wa ......??!Hii comment imenisahaulisha nilichotaka kusema.. Sababu yako
Mmh jamaniii...😃😃aww-yeah!!!Umeongea kwa hisia sana bimdashi
Sababu ya hili ongezeko La akili yako kwenye hiyo comment..hivi huwa mnawazaga nn Haya majibuHahah sababu yangu chief au sababu ya nzi wa ......??!
Hahaha,.ni basi tuu ukila ukashiba,ukiwa na afya njema,ukakaa sehemu ina upepo mwanana ndio inakuwa kama hivi...😉😉Sababu ya hili ongezeko La akili yako kwenye hiyo comment..hivi huwa mnawazaga nn Haya majibu
Kuna mwanaume kukuchoka kwa kwakua amekukinai na kuna mwanaume kukuchoka kwa kua tabia yako imemchosha.
Ninavyokuona mleta mada una gubu, tabia yako imemchosha ulie naye, Nenda katengeneze usipige ramli.
Ndio mkuuMmh jamaniii...[emoji2][emoji2]aww-yeah!!!
Kwahiyo umbali unanikosesha zawadi?!..lolNdio mkuu
yaani ungekuwa karibu yangu, ningekupa ka zawadi ka kulalia.
kabisaa.Kwahiyo umbali unanikosesha zawadi?!..lol
Nipo hapa kiabakari karibu na parokia ya Roma,.ukifika tuu hapo umenipatakabisaa.
au nipe location niibukie maeneo yenu kabla hujalala.