Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,748
- 27,469
1>hutumia muda mwingi kujiremba kujipaka vipodozi!
2>ni mzito sana ktk shughuli za kujishughulisha au hata kujifanyia usafi ktk hata nyumba aishiyo!
3>hupenda kulala mchana huku akiwa mkali ktk kutoa maelekezo kwa h/g wake!
4>huwa ktk fb na mitandao mingine kwa muda mrefu!
5>hupenda mambo ya hali ya juu yamfikie kimiujiza bila kujishughulisha!
6>simu yake kuigusa ni lazima pachimbike japo ni mkeo//WADAU TWAWEZA ZIENDELEZA ZAIDI!
Umesahau hii "anapenda kuchart ila ukifungua inbox ya simu yake unakuta empty "
Ni rahisi kukuachia tigo kuliko simu yake
Dalili Zote Mke Wangu Anazo Ila Sio Changudoa.
Umesahau hii "anapenda kuchart ila ukifungua inbox ya simu yake unakuta empty "
Anasafar na route ming zisizoeleka kama kikwete