Dalili ya mvua ni mawingu

Dalili ya mvua ni mawingu

This is major stereotyping!

Tatizo siyo nyimbo za taarab.

Kama kuna tatizo basi ni tatizo la mtu na maadili yake lakini si nyimbo za aina au namna fulani.

Hivyo sioni uhusiano wa ustahifu/mwenendo mwema (decency) na taarab.

Mwanamke anaweza akamwimbia mumewe taarab na bado akawa mwenye uadilifu mkubwa sana kuliko anayemwimbia mumewe nyimbo za injili.

kuna kumuimbia as kumfurahisha na kumuimbia ki mafumbo...sioni how a decent woman amuimbie mumewe kimafumbo
 
kuna kumuimbia as kumfurahisha na kumuimbia ki mafumbo...sioni how a decent woman amuimbie mumewe kimafumbo

I agree. But the problem there is not the genre of music.

The problem is the person, her choice of words, her tone, and the style or manner of singing.
 
I agree. But the problem there is not the genre of music.

The problem is the person, her choice of words, her tone, and the style or manner of singing.

True ndo maana hata kuna watu wanatofautisha taarab na rusha roho.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom