Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Hahahaha haha haha.. Lolz.hahaha mkuu bao lenyewe ulopiga lime last 4 minutes na 23 seconds na yet una guts zakuuliza whatever unailiza lol
eti sijui umefanyaje? ebu rudia tena kama mwanamme kweli ,sasa huyo anaeuliza anavyopiga kelele akifika anapopandisha mlima ana ku put off,akimaliza hapo unaweza sema atakufia anakulalia kifuani na usingizi juu na unajua mtu akilala anavyokua mzito lol.........tafran tupu siku akikwambia we meet again unaanza kusema mashaka hayooooooooo yanakuja kunishukia manake ana kushushia dunia kuipandisha hawezi...lol
Hapa lazima personal experience imehusika.