Dalili gani inaonesha kwamba una-force mahusiano?

Ukiomba mzigo ghafla ana bridi
Unamtumia kifurushi cha sms af mnachat sms 10 tu kesho tena unaambiwa sms zimeisha.
Unaambiwa usiku mwema saa 2 af ukipiga saa 4 simu inatumika hizo ndy sababu zilizofanya niwe single.
Hapo ujue kuna msela mwingine ndo anampasua wewe unatoa tu pesa ya matumizi.
 
Ukimwambiya I LOVE YOU.
atakujibu THANKS.au OK..

Elewa huna chako.

Fanya shughuli zingine .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom