DALALI MPANDA KATAVI

Sep 6, 2016
27
60
Jamani naomba mtu mwenye connection ya kupata madalali mkoa wa katavi, pale mpanda mjini. Nahitaji nyumba ya kupanga
 
Kuna maeneo mengine uwa ayana madalali so jipange kisaikolojia kuzunguka mitaani.
 
Mtafute mzee anaitwa mwaipopo ni dalali mzuri au nifate inbox nikupe namba za madalali
 
Back
Top Bottom