BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,488
- 14,066
Wazungu walisha tu brain wash sana, sitetei Dalai lama ila, kwa Tibeti hana kosa, kosa lake ni nje ya Tibet, hasa sisi huku.Huyo mzee kashafika umri wa turning point. Umri huo akili yake haina tofauti na ya binti yangu alipokua na miaka 5.
Jiulize CNN hao mashoga huko kwao wanawaongeleaga vibaya?