We nae tutokee hapa ndo nyie mkitenda wema na shukran mwataka mtu anapoingia na mtoto kwa gar kama huwez kumpisha siti unampokea mtoto chap sasa ww unataka kutukuzwa wakat na ww n mpanda daladala ipo siku utakumbuka uliyoyafanyaLeo nilipanda kosta ya kawe nikakaa siti ya kwanza kabisa pembeni ya mlango.Njiani akapanda mmama watoto wanne na binti,sasa yule mama akambwaga mtoto mmoja miguuni kwangu asiseme kitu.
Me nikanyamaza tukatembea vituo kama vitatu mtoto akaanza kucheza cheza mamaake anamuuliza una nini mtoto hasemi....mama na binti walikua wamesimama pembeni yangu mama akamnong'oneza binti na mimi nasikia.
"Huyu dada anaroho ngumu hata kumpakata mtoto kama hamuoni itakua hajazaa... sijui anashuka wapi nikae".
Sikushindwa kumpakata yule mtoto sema mama mtoto alijifanya hajielewi alishindwa kuniomba nimpakatie mtoto wake?
Kumsaidia mtu siyo lazima ila kama unahitaji msaada kwanini usiombe?nilishuka Morocco nikamuachia nafasi.
Kama alikua haitaji msaada kwanini aniseme?si angenyamazaWe nae tutokee hapa ndo nyie mkitenda wema na shukran mwataka mtu anapoingia na mtoto kwa gar kama huwez kumpisha siti unampokea mtoto chap sasa ww unataka kutukuzwa wakat na ww n mpanda daladala ipo siku utakumbuka uliyoyafanya
Kwahiyo upo Dar
Yeye aliyebwaga mtoto bila kusema ndio muungwana?Duuuh sio kwa ukauzu huo!
Sawa mama kakosa ustaarabu, ila ndio umkaushie mtoto hivyo jamani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji1745]Yeye aliyebwaga mtoto bila kusema ndio muungwana?
Ningekuwa mimi ningemwambia mama hebu chukua mtoto wakoSawa mama kakosa ustaarabu, ila ndio umkaushie mtoto hivyo jamani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji1745]
Ni bora ukamrudisha then, lakini pia ni vyema zaidi ukimweleza tu huyo mama kuwa kitendo hicho sio cha kistaarabu na alichopaswa kufanya. Then ukaendelea kumbeba mtoto kiroho safi tu.Ningekuwa mimi ningemwambia mama hebu chukua mtoto wako
Kuna watu wengine hawawezi kuongea ila mimi nisiyeweza kuvunga namchana laivu....kuendelea kumbeba au kutoendelea inategemeaNi bora ukamrudisha then, lakini pia ni vyema zaidi ukimweleza tu huyo mama kuwa kitendo hicho sio cha kistaarabu na alichopaswa kufanya. Then ukaendelea kumbeba mtoto kiroho safi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wengine hawawezi kuongea ila mimi nisiyeweza kuvunga namchana laivu....kuendelea kumbeba au kutoendelea inategemea